Kumchungulia mtu ni kosa?

More problems

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2017
Posts
432
Reaction score
257
Wakuu habar za majukumu?
Nilipo najiuliza kijiswali sijafanikiwa kung'amua. Kiswali chenyewe ni hiki:-

Ni makosa kumchungulia mtu aliyekaa vibaya iwe amekaa makusudi ama bahati mbaya? Kama ndio kwann, kama sio kwann?

Karibuni mnieleweshe kwa miiko ya jamii zetu
 
Km kajiegesha kitumbua kimebarikiwa unampigachabo tu jioni unamaliziana mche wa sabuni ya kodrayi
 
Ni kutokana na umri wakw kawa ni kijana /binti mbichi wewe chungulia tu iwe maksudi au bahati mbaya
 
Hahaaa. Zamani tukiwa kwa wazazi wetu pale mtu akikaa vibaya huwa hatumchungulii kwa sababu walikaa kwa bahati mbaya hivyo tunakimbilia kumwambia aliyetuzidi umri ili apate kumwambia akae vizuri.

Ila siku hizi walio wengi wanaokaa vibaya wanadhamiria kabisa, kwamba kuchunguliwa na kuangaliwa ndio raha yao. Hivyo mkuu we chungulia tu.
 
Zamani tulikuwa tunachungulia kwa sababu vilikuwa vinafichwa siku hizi kila kitu wazi huna hata haja ya kuchungulia
 
Zamani wengi hawakujua matumizi ya chupi hivyo ilikuwa akikaa vibaya ni bahati mbaya hivyo tunamwambia anajirekebisha.
Leo kila mtu anajua matumizi ya vyupi, iweje mtu avae nguo nadhifu kabisa halafu vyupi havipo useme kakaa vibaya?? Hapana, hilo ni duka mkononi
 
Mimi niliaminishwa ni makosa makubwa sana na unaweza kupata mikosi. Kipindi hiki sitapata mikosi hiyo iliyosenwa ?
 
Mimi niliaminishwa ni makosa makubwa sana na unaweza kupata mikosi. Kipindi hiki sitapata mikosi hiyo iliyosenwa ?
Hahahaaa. Huwezi pata mkuu kwa sababu miaka yabsasa wanaokaa vibaya katika kumi basi wawili ndio wamekaa kwa bahati mbaya.
 
Reactions: BAK
Mbaka saizi ukijiweka kihasara hasara nakula chabo kama kawa alafu ata ukinifuma sijishtukii si umejiachia mwenyewe bhna[emoji2]
 
Kwahyo tutazame tu[emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Zaman tulikua tunachungulia siku hizi tunaangalia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…