Rhz4567 JF-Expert Member Joined Mar 16, 2018 Posts 5,383 Reaction score 7,432 May 18, 2018 #1 Hii gari ni toleo la mwaka gani
Mjasiri na Mali JF-Expert Member Joined Jun 24, 2017 Posts 5,365 Reaction score 14,187 May 18, 2018 #2 Mhhh hiyo gani hapana Mimi jua labda tusubiri wenzangu
Mbao za Mawe JF-Expert Member Joined May 11, 2015 Posts 23,367 Reaction score 55,054 May 18, 2018 #3 Hiyo gani sijawahi kujua ni toleo la mwaka gani, huwenda Tecno ndio watengenezaji.
King Kong III Platinum Member Joined Oct 15, 2010 Posts 64,303 Reaction score 98,928 May 18, 2018 #4 Hii gari niliiona kwenye Movie ya Doni Yen na Cynthia Rock Rock kwenye movie ya "In the line of Duty 4" kwahiyo gari itakuwa ya 1989.
Hii gari niliiona kwenye Movie ya Doni Yen na Cynthia Rock Rock kwenye movie ya "In the line of Duty 4" kwahiyo gari itakuwa ya 1989.
jozzeva JF-Expert Member Joined Oct 27, 2012 Posts 2,193 Reaction score 1,832 May 19, 2018 #5 Zamani ukiona gari kama hilo tulijuwa ni nyonya damu,Gari kama mjusi.
kurlzawa JF-Expert Member Joined Jan 23, 2018 Posts 16,694 Reaction score 20,658 May 19, 2018 #6 Inaitwa container ni ya mwaka 1983
Rhz4567 JF-Expert Member Joined Mar 16, 2018 Posts 5,383 Reaction score 7,432 May 19, 2018 Thread starter #7 King Kong III said: Hii gari niliiona kwenye Movie ya Doni Yen na Cynthia Rock Rock kwenye movie ya "In the line of Duty 4" kwahiyo gari itakuwa ya 1989. Click to expand... Kweli kabisa inasemekana ni ya miaka ya 80 na unusu
King Kong III said: Hii gari niliiona kwenye Movie ya Doni Yen na Cynthia Rock Rock kwenye movie ya "In the line of Duty 4" kwahiyo gari itakuwa ya 1989. Click to expand... Kweli kabisa inasemekana ni ya miaka ya 80 na unusu
Rhz4567 JF-Expert Member Joined Mar 16, 2018 Posts 5,383 Reaction score 7,432 May 19, 2018 Thread starter #8 kurlzawa said: Inaitwa container ni ya mwaka 1983 Click to expand... Kweli kabisa mkuu
Rhz4567 JF-Expert Member Joined Mar 16, 2018 Posts 5,383 Reaction score 7,432 May 19, 2018 Thread starter #9 kelvin marcus said: Mhhh hiyo gani hapana Mimi jua labda tusubiri wenzangu Click to expand... Wazee wetu naona bado hawajaona hii nyuzi tuvute subra watakuja kutupa mawili matatu
kelvin marcus said: Mhhh hiyo gani hapana Mimi jua labda tusubiri wenzangu Click to expand... Wazee wetu naona bado hawajaona hii nyuzi tuvute subra watakuja kutupa mawili matatu
Ngatiani JF-Expert Member Joined Apr 6, 2017 Posts 412 Reaction score 470 May 20, 2018 #10 Rhz4567 said: Hii gani ni toleo la mwaka ganiView attachment 780900 Click to expand... Labda ni VDL Convoy.
Rhz4567 said: Hii gani ni toleo la mwaka ganiView attachment 780900 Click to expand... Labda ni VDL Convoy.