Hizi takataka tuaziondoaje mkuu...hebu tupe njia kama unayoBongo zetu huchafuliwa sana kuanzia ujanani na kuendelea, ukiwa mdogo ni rahisi zaidi kushika au kuhifadhi vitu kichwani, mfano Mimi kiasili ni observer nakumbuka karibu nusu na robo ya watu wote darasani kwetu kuanzia darasa la pili Hadi la sita na nafasi zao za darasani yaani kwenye madawati lakini Leo hii ukiniambia niliosoma nao Advance ni wachache sana ninaowakumbuka. Yaani haiwezekani Ukumbuke shairi refu sana la kingereza la darasa la pili then definition ndogo tu tena rahisi ya advance uisahau?
Ni wakati Sasa wa kuondoa taratibu takataka zilizopo vichwani
Ujue vya Advance wakati unajaribu kuviingiza kichwani ulikua na mambo mengi ya pembeni...ie ujana..mahusiano...mawazo ya kifamilia mfano ada..sijui chakula tutakula nini...mara sina uniform..n.kKukumbuka vya primary school na kusahau vya secondary na advance hii huwa inanileteaga maswali sana yani
Hizi takataka tuaziondoaje mkuu...hebu tupe njia kama unayo
The use of microchip inserted in our brain is the solution to thisHizi takataka tuaziondoaje mkuu...hebu tupe njia kama unayo
Meditation ama kwa kibantu tahajudiHizi takataka tuaziondoaje mkuu...hebu tupe njia kama unayo
Hicho kifaa kina madhara makubwa maana ni kivamizi (intruder) mwilini kisicho na uasili wao uhaiThe use of microchip inserted in our brain is the solution to this
Meditation ama kwa kibantu tahajudiHizi takataka tuaziondoaje mkuu...hebu tupe njia kama unayo
Hicho kifaa kina madhara makubwa maana ni kivamizi (intruder) mwilini kisicho na uasili wao uhaiThe use of microchip inserted in our brain is the solution to this
Sahihi kabisaKwa hio inatubidi tuchukue tahadhari sana maneno na matendo yetu kwa watoto, jwa sababu kila neno na kila tendo hubaki kwenye kumbukumbu zake karibu wakati wote wa maisha yake.
Hata mzee anapo poteza baadhi ya kumbukumbu kwenye ufahamu wake hurejelewa na matukio ya utoto wake ndio maana wakati mwingine wanakuwa kama watoto.