Kumbukumbu: Night shift Bulyanhulu, siku niliyotamani kuuaga umasikini

Tunasubir Muendelezo
IMG_20200329_063135.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nakusubili mwamba hizi ndio
Mwaka 2009 nikiwa shift ya usiku nilipangiwa kwenda kuchoronga na kulipua eneo ambalo watu wa day shift walikuwa wamelipua kama ilivyokawaida. Baada ya kufika eneo la kazi kama kawaida nilizingatia hatua za kiusalama ikiwemo kutegua wire wa umeme uliotumika kulipulia mchana na baadae nikapanda ngazi kadhaa kuelekea eneo la kazi. Nilimwacha msaidizi wangu chini akimalizia kula chakula ambacho aliamua kushuka nacho chini (underground).

Nilipofika eneo la kazi kama kawaida nilipokelewa na vumbi pamoja na fumes (hewa ya baruti za kulipulia maarufu kwa jina la magnum na nilianza kumwagilia maji ili kutoa vumbi na kupunguza fumes (ku-dilute) hizo fumes kwa kulinda afya yangu. Nilipofika kwenye "face" nikiwa namwangilia (face ni neno linatumika migodini ikiimaanisha sehemu ulipoishia mlipuko) nilishangaa kukuta vein (mchirizi) wa dhahabu ukiwa unameremeta.

Kwanza ilibidi nikae na kuanza kuwatukana wazungu kimoyomoyo kwa sababu siku zote hapo mgodini hawa jamaa walikuwa wanatoa takwimu za kwamba wanajiendesha kwa hasara wakati sehemu moja tu nimekuta vein kubwa na chini vipande vya hiyo vein ya dhahabu vimeanguka na kutapakaa mithili ya rangi ya mavi ya mtoto mchanga. Niliwalaumu hawa wazungu kuwa wanapotosha taarifa ili kukwepa kodi. Sasa kimoyomoyo nikasema hapa lazima leo niondoke na vipande hivi hata kama ulinzi wa Buly ni kama uliopo White House ya Trump.

Nikashuka ngazi kwa kasi kumuwahi msaidizi ili asipande kwa kuwa sikumwamini sana na alikuwa ni wale ndugu zetu wa Bukoba. Nilipofika nikamwambia huko juu fumes ni kali sana hivyo endelea kula good time ili niendelee kumwangila maji hadi iishe. Nikakimbilia store na huko nikakuta madumu ya mafuta ya kutumia na Jackleg (mashine ya kuchorongea) nikapanda nalo kwenye ngazi na nilipofika juu nikalikata juu na kuwa kama ndoo. Niliokota vipande vingi hadi dumu lile likafikia nusu lengo ni kuwa nifanye kila linalowezekana nitoke na huo mzigo kwa kufanya mchongo na madreva wa gari zinazoleta vifaa huko chini na mzigo ukitoka nione ni namna gani tunautupa nje ya uzio wa mgodi na kutokomea nao.

Picha zilizoko hapa chini ni Jackleg (mashine ya kuchorongea) na nyingine inaonyesha Vein ya dhahabu mfano wa ile niliyokutana nayo. IKUMBUKWE KUWA PICHA HIZI HAPA CHINI NIMEZITOA KWENYE MITANDAO kwani Bulyanhulu huruhusiwi kuingia na simu au camera chini ila hiyo vein unavyoiona ni asilimia 95 na ile niliyokumbana nayo na uchimbaji huu wa kufuata mkanda wa dhahabu wanaita narrow vein mining.

Itaendelea. Kwa hisani ya watu wa NORTH WEST MAFIKENG SA. Take care Covid 19 iko jirani kwako.

Sent using Jamii Forums mobile app
nakusubili mwamba hizi ndio mada
 
Mimi ndi huyo jamaa nilokuwa msaidizi wako

Back
Top Bottom