kumbukumbu mjaraaabu

englibertm

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2009
Posts
9,252
Reaction score
6,211
Mwalimu Julius Kambarage Nyerere (waliokaa, wa tatu toka kulia) akiwa na wanafunzi wenzake na Mwalimu Mkuu Bwana E.S Williams shuleni Tabora Boys, Tabora mwaka ...1942, Julius akiwa kijana mwenye umri wa miaka 20.
 
Wewe hiyo picha umipata wapi?
 
Tabora no mji mkongwe, yaani miaka hiyo tayari kulikuwa na sekondari..ila nashangaa hata hakujajengekaa..nyumba za fito tuu
 
...ni mujaarabu,sio mjaarabu...
 
Mi ningependa kuwajua hao classmate zake na mwalim kipindi hicho
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…