Kumbukumbu mbaya kwangu ni tarehe kama ya leo 9 Desemba, 2011 nilivyovamiwa na majambazi mitaa ya Sinza

Itakuwa nondo madam ila sikuona nilistukia kumekucha
Mzee kama umetumix stories...mi natamani jua zaidi uliingiaje kwe kuuza madawa na kutoka..hizo za utransporter kawaida sana mtaani kwetu kulikua na kijiwe cha bia mgundini....ukiwa pale bia unakunywa ila jiandae kua dereva wa masela kipindi hicho kazi yao kubwa ilikua kuvunja vioo magari mlimani city na kuiba laptop..had I walipokuja UA mmoja
 
Haahaaahaa hujawahi ona mtu anafungua duka baada ya mwezi anafunga ? Ndo ilivyokuwa nilikuwa muuzaji wa mwisho so middle man wakawa wanapiga hela ndefu halafu mimi nikawa kwenye risk kubwa msako mkali wa wauza unga uliibuka wakakamatwa wengi hasa vidaga kama mimi nikaona sio ishu nikaacha nikaanza kuuza viroba kwa masela nilikuwa nachukua pale kiwandani kwa Mengi.
 
Mzee kama umetumix stories...mi natamani jua zaidi uliingiaje kwe kuuza madawa na kutoka..hizo za utransporter kawaida sana mtaani kwetu kulikua na kijiwe cha via mgundini....ukiwa pale via unakunywa ila jiandae kua dereva wa masela kipindi hicho Nazi yao kubwa ilikua kuvunja vioo magari mlimani city na kuiba laptop..had I walipokuja UA mmoja
 
Hbr zenu wandugu,

Bila shaka mnaendelea vizuri na majukumu yenu ya kila siku. Pia nawatakia sikukuu njema ya uhuru .9 Desemba.

Ndugu zangu mitihani ya maisha ni mingi mno ila pamoja na wingi wake isitukatishe tamaa kabisa kwani pia ni sehemu ya kujifunza japo mitihani mingine unaweza fikiri umeandikiwa wewe tu wengine haiwapati kumbe kila mtu ana majanga yake.

Sasa nisipotezee mda najua wengi wenu mnapenda sanaa kusoma visa na mikasa hadi mwisho basi niwaahidi kuwa nitamaliza kisa hiki japo sio kirefu sanaa kivile naomba tuwe wavulimilivu tu.

Sasa kisa chenyewe kipo hivi...

Katika mihangaiko yangu ya maisha nikiwa bado na dome(nakula) kwa wazazi kama unavyojua hasa graduates wengi tukitoka chuo tunakuwa smart sanaa hasa kwenye mavazi na kujifanya expensive kitaa kujiona sis ni bora kuliko layman wa mtaani, basi mzee nikawa nipo town napiga deal za kusukumiziwa za hapa na pale

Kuna jambo nataka nilisema na niombe radhi kwa wote nimewahi kuuza bangi na madawa ya kulevya takribani kama mwaka hivi japo sikuona faida yake kivilee na nipenda kumshukuru Mungu licha ya kuuza sikuwahi hata siku moja kujaribu kuonja zaidi ya kujua rangi na harufu yake NAOMBA MUNGU ANISAMEHE ni hilo ndo huwa nalijiutia katika maisha yangu yote japo sikulifanya kwa mda mrefu.

SOMO...

Ndugu mzazi mlezi tafadhari mwangilie mwanao hasa pale anapokuwa nyumbani hana shughuri ya kufanya ni hatari sanaa kujiingiza ktik makundi hatarishi kwa ushawishi wa makundi na ukaja stukia ameshapotea kitambo MUNGU TUSAIDIE kama unajua una vijana basi anzaa kuwaanda mapema wakiwa wadogo kuwaonyesha hata njia ya kujipatia kipato kidogo kupitia njia mbali mbali halali kama kuuza duka kufuga na kilimo hutojutia YAMENIKUTA.

Tuendelee sasa ...

Basi mtu mzima ndo nikawa nipo home kitaa kukawa kuna kasumba ya vijana kuondoka bila kuaga wakirudi utakuta wana vigari kama ballon na vigari vingine vizuri dada zetu na mademu zetu wakakoma kweli kweli hilo mdo lililonishawashi nami nikaingia huko baada ya mwana(pusha) kunistua japo mimi nilikuwa na tajiri choka mbaya ila wengine walienda hadi Brazil na Uturuki na nchi za mbali (UNGA supplier).

Kisa na mkasa.. siku ya tarehe usiku 9 Dec 2011

Basi mitaa ya sinza kuna Bar inaitwa MEEDA ilikuwa karibu na kanisa la kakobe (sina uhakika.**** bado ipo) basi mara nyingi alikuwa anapenda kutumbuiza pale ally choki baada ya kuhama Tot Plus na kuanzisha band yake (siikumbuki jina). Basi nikaona leo ngoja niingia mitaa ya pale kusafisha macho nakumbuka nilikuwa na book kumi tu kiingilio bia ya kopo Castle 2 unapewa moja bure mzee nikazama ndani nikaanza kula kidogo kidogo Castle zangu.

Bwana nikiwa nimekaa meza ya nyuma kidogo nikamuona kijana ambae namfahamu ikabidi nisimame nijifanye naenda chooni nijiridhishe aise kumbe mshikaji wa kwa jina × basi japo alikuwa amelewa ila alinitambua aise classmate wangu wa kitambo shule ya msingi tulipoteana karibia miaka nane aise akabidi anialike meza kwake tukapiga story sanaa za kitambo huku bia zikinyweka kwa fujo na jamaa zake.

Katika mambo ambayo najitahidi kujizuia ni kujitahidi kuzuia pombe isinicontrol kabisa nikinywa kiasi inatosha.

Basi ikafika saa sita usiku hivi jamaa akawaaga jamaa zake kuwa anataka kutoka alikuwa na demu wake basi cha ajabu akataka nami tuongozane anipitishe home nikaona powa ngoja namimi niondoke, kimuonekano jamaa yangu alionekana yupo njema.jambo ambalo huwa sipendi kumuuliza mtu nikuhusu mafanikio yake au anafanya ishu gani nikikutana nawewe umechoka au uko vizuri tutapiga story zote lakini sio kukuliza mishe misheshe zako labda uniambie mwenyewe.

Basi tukatoka tukaanza safari taratibu jamaa kagari kake kalikuwa corona 110 basi tukawa tunaelekea mitaa ya sayansi nikashanga japo yeye aliniambia kuwa ana kaa kimara temboni nikajua labda ana mpeleka shemeji kumbee jamaa anaenda kulala kwa demu wake khaa! Tumefika nyumba hiyo ipo pembezoni mwa barabarani ya wakashuka wote jamaa akaniita pembeni akaniambia mwana nipe kwanza namba zako za simu nikampa akaninong'oneza oyaa mimi nalala na huyu demu sasa wewe chukua gari nenda tuonane kesho asubuhi haaa!! Ntakubigiaa kakamatia demu lake hao ndani.

N#%6E MBAYA SANA. Hebu jiulize unampa mwana gari humuulizi kuwa ana leseni au laa humuulizi kuwa anajua kuendesha gari au laah unampa tu gari miaka nane hatujaonana dahh bahati nzuri mimi nimejiongeza mapema nikajua kusukuma vyombo vya moto nikiwa mdogo tu ila gamba nikawa sina ila nasukuma chuma safii bila wasi wasi .

Mzee nikashika chombo cha kwanza kabisa nikacheki gauge lahaullah chuma iko full tank mamee saa saba hiyo usiku nikavuta kidroo kidogo cha sigara nikajua kuna fegi nianze kupuliza nikakuta kuna kama 55,000tsh hivi nikamtext jamaa oyaa umeacha hela yako jamaa akanijibu tumia tu kesho mzee, nikasema powaa.

Hapa ndo mlango wa majanga ukawa umefunguliwa rasmi usiku mbaya wa tar.9 Desemba 2011.

Nikageuza chuma brake ya kwanza Corner Bar nikapaki chini ya bango la simu nikajichanganya na watu nikaagiza nyama na caslte nikaanza kugida taratibu huku natupia mara kwa mara jicho kwenye chombo ya jamaa ilikuwa bado mpya kabisa wahuni wasisepe na mirror .nikakaa kidogo nikaona michosho.

Nikasimama nikazunguka kwa nyuma na kigari kuna chochoro zinatokezea kwa mpemba( duka la ujenzi) kuna vifaa vya ujenzi nikapita ile mbele kidogo nikakutaa piss kalii(malaya) zimejipanga kizani, hapo hapo chuma. Nikahisi imestuka wallai unajua yani walivaa kihasara na nusu yani nikukaamatia unaingiza na kusepa .

Napita tu zikawa zinanipigia mluzi nikaona hapa kizani ngoja nikasimame kwa mbele kidogo kwenye mwanga nikaistua moja niliyoikubali ikaniambia cha 10 fasta fasta nikaimbia powaa ila tukanywe kidogo ikasita ila baadae ikakubali nikaona ngoja nirudi zangu meeda pale kwa pembeni kuna gest nikamalize pale pale mzee safari ikaanza stori za hapa na pale demu aniiona mshuua kumbe mbwiga tu tukafika maeneo tukafanya yetu sasa wakati wakutoka ndo tukapitia meeda mla tukala bia moja moja demu akasema yupo kazini hivyo nimrudishe kituoni kwake nikaona powaa nikamrudisha .

Narudi sasa palee meeda ndo msala ulipoanzia nimefika nakawa natafuta pa kupaki gari ikabidi nikapaki nyuma ya ukuta huko ndipo nilipokutana na kisanga

Ila nashuka tu nikakutana na njemba kama nne zimeshiba unakumbuka nipo nyuma ya ukuta kuna kigiza njemba zikaniweka kati na mivisu yao nikasema leo nimepatikana gari ya watu inaondoka hivi hivi kipindi ndo wimbi la wizi wa magari lilikuwa limepamba moto kweli kweli jijini Dar. Nikaketishwa chini. Mjini bwana eti mlinzi wa bar yupo mitaa kama mbili hivi gari ilipopaki anaona kila kitu lakini hasogei yupo kimyaa anaendelea na shughuli zake.

Nikaamrishwa kuingia kwenye gari nikaingia hapo sime kali ipo shingoni na nimeshapigwa migumi ya tumbo na uso ya kufaa mtu so nikawa nafuata kila wanachoniambia huku wamenisachi wamechukua visenti vyote wakaniamrisha twende mlimani city akili ikaniambia watakuwa wanaenda kufanya ujambazi hawa aise tuanza safari nikasha tumepita mlimani city tukawa tunaelekea njia ya chuo cha ardhi tukakata kidogo tukashika njia ya kuelekea makungo juu niia ya vumbi nikasema sasa naenda kunyongwa wakati tunaendelea wakawa wanafanya mawasiliano na wenzao sikujua ya nini ila baada nilijua kuwa kulikuwa kuna wenzao walikuwa wanafanya kazi sehemu .tukaenda mbele kidogo nikaambia geuza turudi meeda nikageuza

Tukarudi pale tukapitiliza meeda hadi shekilango road tukakunja kushoto hadi kumekucha tukapita hadi njia ya lioni hotel tukanyoosha njia ya kwenda tandale aise jamaa wanafanya mawasiliano kwa kuongea maneno huwezi ya ng'amua kabisa ni code tupu, tukaenda kama tunaelekea mwananyamala tukakunja kulia kuna kibarabara tukakunja tukatokea manzese na kamata njia tu defenda ya polisi ikapita vuuuppp !!

Nikasema nakufa wakati huo huo wale wanauma wakawa nao wametoe vyuma vyao (bunduki) nikaanza kutetemeka huku na yumba moja akanistukia akanigonga na kwenzi hatari wee dogo tuliiaaa endesha chuma tukarudi barabari ya ya kuelekea ubungo aise yaniii nikawa mpaka hapo sielewi chochote nikajiuiza hapa ya kiubuka mapambano nami sintaonekana jambazi nimeuwawa katika tukioa la ujambazi wakati huo wazazi wangu wamelala hawana habari wanajua kijana wao yupo ndani kumbe yupo kwemye mitihani ya dunia nikawaza sanaa kesho magazeti yataandika nini. Kuhusu mimi basii tukarudi barabara ya mlimani city nikaambiwa nipaki hapo sio mbali sanaa kutoka ghorofa wa mawasiliano kulikuw hakuna jengo hapo kulikuwa na eneo la wazi flani nikapaki kama dakika 20 wao wanaongea stori zao. Mara ghafla nimasikia moja anasema tayari kwenye simu.

Wajomba wakaniamrisha niwashe gari tusogee mbelee kidogo nikaona majanaae yanakuja na bunduki yakaingia kwenye gari kwa nyuma na vimifuko hakika wLikuwa kuna kafarufu ka damu nadhani walishaua mtu.

Nikatoka pale tukawa tunaelekea njia ya mwenge kabla ya kufika mwenge kuna kinjia unapita kulia nyuma ya mwenge kuna uwaNja watu hufanya maZoezi asubuhi nikaingia mle nikaambiwa nipaki wakashuka nikarudishiwa kisimu changu cha toshi wakati waanza kuondoka moja akajifanya amesahau kitu nyumba ya kiti akarudi akafumgua mlango w nyuma nikasikaa puuuhhh...basiii.

Basi sijui nini kiliendelea hadi nilipostuka saa moja asubuhi watu wanaendelea kufanya mazoezi hawana habari wakijua mimi ni tex dreva nimejilaza tu .

Nikastuka kichwa kinauma bala nikajishika kichwani nikaona vidamu kidogo vimeganda nikawasha gari hapo hapo hadi home nikampigia simu mshakaji akawa hajaamka hapokei simu ikabidi nikaogee home ila gari nilipaki kwa mbali kidogo mzee asije niuliza maswali mengi.

Nikachukua pesa kidogo nikanaenda kw mama ntilie jirani na home nikanunua chai .nilivyofika saa nne jamaa akanicheki kwa simu tukakutana mori pale nikamkabidhi gari lake sikumwambia chochote kuhusu hilo tukio hai ilivyopita mwezi mzima akashangaa sanaa. Akanitoa na 30 elfu nikarudi zangu home.

Kuanzia hapo nikawa huru.naomba radhi kw uandishi wangu mbovu.

Nawatakia UHURU DAY NJEMA.
Yule malaya aliishia wapi
 
Ulijiletea msala mwenyewe badala ya kwenda kulala kwenu kisa umepewa ndinga ndio unazurura
 
Kisa kinasisimua sana mkuu! Nilitegemea wangeondoka na ndinga ya jamaa, hakika ungejua hujui! Pole sana! I had a same story though it ended in tears!
 
Pole ndg.Huyu mwamba mbona kama ndio alikulengesha kwa wana hiv
 
Back
Top Bottom