Kumbukumbu: Maafa ya September 11

ndio nilikuwa nahtim darasa la 7

hta Mimi nilikuwa la Saba tena nakumbuka nilikuwa nimetoka kufanya test tuition km ckosei mtihani wa taifa tulifanya tarehe 27 mwezi WA tisa
 
Kkkkk ila inasemekana ni mchongo wao wenyewe ili wapate tiketi ya kuingia vitani dhidi ya wanaowaita magaidi.
Nalog off

hizo ni story za kwenye kahawa
utatengeneza tukio la kuua raia alfu tatu?? Huko misikitin mnalishwa sana sumu asee
world trade center ilpopigwa hata uchumi wa dunia uliyumba
 
hizo ni story za kwenye kahawa
utatengeneza tukio la kuua raia alfu tatu?? Huko misikitin mnalishwa sana sumu asee
world trade center ilpopigwa hata uchumi wa dunia uliyumba
Acha uoga wewe! Msikiti umeingia vp hapo,si tunazungumzia mambo mengine unataka kuuonea msikiti au kwasababu hauwezi kukujibu ndio maana unausingizia? Inavyosemekana ktk yale majengo kuna wafanyakazi kibao wa kiyahudi lkn siku ya tukio hakufa hata mmoja wao kwa kuwa lile chezo walikuwa wakilijuq.
Juzi kati nchini Msumbiji kulikuwa na vita kati ya Renamo na Frelimo wanajeshi kibao pamoja na raia walikufa ili kuhalalisha ugomvi wao,kwa maana hiyo kutoana sadaka kumo ili watu wapate wanachokitaka na Marekani ni bingwa wa kutoa sadaka. Au umeshasahau juzi kati ndege ya shirika la Malaysiailitolewa sadaka ili kumpakazia Vladmir Putin?
Nalog off
 
Ukiachilia mbali matukio yanayo sababishwa na tabia nchi (natural disasters) mengine takriban 85% ni ya kupangwa kwa madhumuni maalumu.
 
Hii ni zawadi UCHWARA hii ni hadithi tu za kudanganya wasiojua,hizi ni habari za kughilibu akili za watu ambazo hata hapa TZ zipo tu,watu wanafanya mauaji utasikia watu wanasema NI CHADEMA HAO!!!Madactari wakigoma CHADEMA HAO!!!!! Hata duniani hayo yapo tu,Mfano nchi za kiarabu zikipata shida yoyote au kushambuliwa na yeyote utasikia Hao ni MAREKANI au ISRAEL,sasa hivi waarabu wamepatwa na janga la ISIL utawasikia wakilaumu MAREKANI au ISRAEL harafu kwa ujinga wao wanarudi kuomba msaada tena kwa MAREKANI hiyo hiyo,na kwa sababu MAREKANI ina huruma imeamua kuwasaidia kwa hiyo baki ukijua hiyo zawadi uliyonipa ni HEKAYA ZA ABUNUWAS,habari hizo zipo tu kuku-keep BUSY
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…