Kumbukumbu: Maafa ya September 11

Tyta

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2011
Posts
12,767
Reaction score
10,539
LEO NI MIAKA 13 TANGU 11/09/2011.NI SIKU AMBAYO WAFUASI WA KIKUNDI CHA AL-QAEDA WALITEKA NDEGE NA KUSABABISHA VIFO VYA ZAIDI YA WATU 3000.NAAMINI WENGI WETU WANAKUMBUKA TUKIO HILI LILIPOTOKEA WALIKUWA WAPI NA WAKIFANYA NINI.


 
Kilichonishangaza sana ni kuona waarabu wakisherehekea shambulio hilo la KIGAIDI.
 
Last edited by a moderator:
Wakipigwa na Israel wanataka Dunia yote iwaonee huruma .wao wakiua wanashangilia
 
Hii ilikuwa siku mbaya kwa kila mwanadamu duniani!!
 
Nilikiwa primary sijui class 2,3,1
Its painful
 
While we mourn the thousands who lost their lives and the emergency responders who bravely give their lives in the 9/11 attacks 13 years ago today, it's important, especially now with the threat from terror organizations like ISIS and Hamas to recognize and expose evil.

This is actual footage shown of Palestinians celebrating at the sight of terrorist attacks against the United States on 9-11-2001. It was shown on CNN, MSNBC and FOX News.

We continue to hold out our hand for peace, but the embrace of hate against any group of people must stop for peace to be achieved.
 
Nilikuwa u.s nakunywa kahawa mitaa ya penslyvania uko uhio nilishtuka sana Mimi na classmates wangu hatukuamini macho yetu kwa runinga tulibaki midomo wazi Mara umati mkubwa ukajaa kwenye TV na kuamusha vilio
 
Wazungu wakikaatwa wanakuwa wapole sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…