Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 2,437
- 5,235
Mtazamo wa Rais Mstaafu Jakaya Kikwete kuhusu Udikteta vs Demokrasia. "Hakuna Udikteta Nusu"
Haliyasema hayo July 23, 2023
Rais mstaafu J Kikwete anaeleza kuwa hakuna udikteta nusu au udikteta wenye ubinadamu, Udikteta ni udikteta tuu. Udikteta ni kuwanyima watu fursa ya kutoa maoni, wewe peke yako ndie mwenye ukweli na wanapotoa maoni tofauti na yako unawagonga huo ni udikteta.