Hahaaaa!Pointi yake kubwa hapo ni moja tu yaani watu watoe sadaka hizo zingine zote ni ngonjera za kusindikiza ujumbe
Hahaa...toa sadaka mkuu..ulipe na kodiPointi yake kubwa hapo ni moja tu yaani watu watoe sadaka hizo zingine zote ni ngonjera za kusindikiza ujumbe
Pointi yake kubwa hapo ni moja tu yaani watu watoe sadaka hizo zingine zote ni ngonjera za kusindikiza ujumbe
Mi ndio kwanza nimesoma leo kwa mara ya kwanza..Hii niliisoma mwaka 2012. Wewe ndiyo unacopy na kupaste leo? Hongera jiniazi!
Hii niliisoma mwaka 2012. Wewe ndiyo unacopy na kupaste leo? Hongera jiniazi!
Hey Relax amigo. Usitokwe na mishipa ya shingo bure mkuu. Go live your life sir.Je unayaishi? Mbona hukutukumbusha wengine? Unajua kama wewe ni mchoyo? Je! Mbona tunasali everyday na biblia ni zilezile???! Ukiweza kunijibu kwa hoja ni vema zaidi.
Pointi yake kubwa hapo ni moja tu yaani watu watoe sadaka hizo zingine zote ni ngonjera za kusindikiza ujumbe
Umegundua eeeh? Watu wajenge mahekalu na kununua mahelkopta tena bila kusogelewa na mnyama TRA...Genius!Pointi yake kubwa hapo ni moja tu yaani watu watoe sadaka hizo zingine zote ni ngonjera za kusindikiza ujumbe