englibertm
JF-Expert Member
- May 1, 2009
- 9,252
- 6,211
KIpindi hiki shilingi ya tanzania ilikua sawa na dol 1.3 , kwa sasa 1Tsh.= 0.03638Usd . alisisitiza ujamaa tukakomaa na ubepari kichini chini sasa tungekua kama wachina , taifa lingekua na nguvu zote. Rafiki yake mkubwa alikua Mao. sasa vyama vingi kelele tupu haeleweki nani ni nani. Siasa mbaya sana usiiruhusu ikaingia nyumbani kwako. Hata kenya wanatushinda 1Usd = 88Ksh. Wanawaza kurusha satellite sisi hata wazo hatuna. mwingine atauliza ya nn. Tumekalia majungu tu ukawa ukawa wawe sasa sio story tu.
MUNGU IBARIKI TANZANIA