kumbu kumbu mjarabu

Hahaaaaa Black Nyau ilikua inatoka Mlalo Lushoto kwenda Moshi.....mafuriko ya 1993 Ndio yalikatiza safari zake
 
Daahhhhh....Relwe. Hebu tafuta na ya Gudusi moja aisee (Goods).
 
Hiyo yananikumbusha mbali xana kama enz za mwalimu ndo yalikuwa yanatumikaga
 
Ooyooo laiti tungekuwa na uzalendo wa kweli wa vitendo na siyo kama huu wa domo na longo longo basi hii kampuni engekuwa mbali sana na modeli ya kisasa na hata ya gorofa tungekuwa nayo lakini wapi ni sawa na nahau penye miti hapana wajenzi na panapokuwa na wajenzi huwa na washenzi na mungu katunyima ngozi nyeupe na badala yake katupa gozi jeusi na mimali kede kede lakini hatuyajui thamani yake na bado tuko na usingizi wa pono
 
Kitu leyland Daf,ukikute kinapanda mlima sasa ,kinalalamika full raha...
 

Huo ni ukweli mchungu.
 
Ooyoo nimekupata lakini weka siri asijui mtu na hata sisimizi pia sadakta allahu ibarik
 
hiyo registration number ilikuwa ya mkoa gani? iringa ilikuwa IR, mbeya MB, Mtwara MT, mwanza MZM, Tabora TB, Kgoma ilikuwa UJ (ilitokana na Ujiji)
 
hiyo registration number ilikuwa ya mkoa gani? iringa ilikuwa IR, mbeya MB, Mtwara MT, mwanza MZM, Tabora TB, Kgoma ilikuwa UJ (ilitokana na Ujiji)

Hiyo ni Registration ya Mabasi ya Railway (RAB) kama ilivyo leo SU, DFP, SM nk.
 

Umeongea ya maana sanaaaaaaa!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…