kumbu kumbu mjaraabu

Ubabe woteeee, akaishia kisu kwenye Ma------. Ngoja na mie ninoe panga, kesho kwenda kufyeka Miwa.
 
Nchi na vyote vijazavyo ni mali ya Mungu.
Hapa duniani tunapita tu hata uwe nani !
 
Kumbe zilikuwa mbwembwe tu, wenye dunia wakiamua wanakufanyizia kitu mbaya bila kukutazama usoni!
Hivi hao madame waliishia wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…