Mlolongo JF-Expert Member Joined Jul 4, 2019 Posts 3,654 Reaction score 6,542 Dec 5, 2020 #21 Nelson nely said: Huwa napenda kuwala wabichi!wana mafuta sana,ninachojua huwa wanatoka kwenye vichuguu vya mchwa Click to expand... Kuwala wabichi??? Ptuuuu
Nelson nely said: Huwa napenda kuwala wabichi!wana mafuta sana,ninachojua huwa wanatoka kwenye vichuguu vya mchwa Click to expand... Kuwala wabichi??? Ptuuuu
Jane Lowassa JF-Expert Member Joined May 10, 2016 Posts 5,009 Reaction score 9,208 Dec 5, 2020 #22 Kuna wengine wanaitwa 'mawanila' ni wakubwa kuliko kumbikumbi. Nao watamu sana.
Donnie Charlie JF-Expert Member Joined Sep 16, 2009 Posts 18,773 Reaction score 22,090 Dec 5, 2020 #23 Kumbi kumbi ooooh! Wanapendana sana hata wakati wa kutembea utawaona ! bibi mbele bwana nyuma! Lakini sio ajabu kwani hata wao hutokea wakati wakakosa kuelewana Tena kwa kiapo oo Neema, sembuse mimi na wewe
Kumbi kumbi ooooh! Wanapendana sana hata wakati wa kutembea utawaona ! bibi mbele bwana nyuma! Lakini sio ajabu kwani hata wao hutokea wakati wakakosa kuelewana Tena kwa kiapo oo Neema, sembuse mimi na wewe