Kumbe Zitto Kabwe alishapokea ‘’mlungura’’ wa Barrick Gold, tutapona kama Taifa?

Nchi ngumu hii....Mtu anamtukana Rais kisa kuhongwa tu....Si mkaage kimya?
Hakuna mtu wa kukaa kimya,as long as this is our country,we will keep shouting to make things right!
Kama Magu anategemea akiwa madarakani itafika muda kila mtu atampigia makofi kwa kila afanyalo,he is too much mistaken!That will never happen,not here!Unaharibu,tunakuchana!
 
Mimi binafsi hata ile kauli ya Magufuli kuwa kuna msg walizidaka zinaomba data Barrick kwa Mnyika naamini ni Zitto huyo. Kama raisi Magufuli anataka kufanikiwa katika uongozi wake aachane kabisa na wabunge, wale ni njaa kali. Afanye mipango yake bila kutumia bunge
Kwa kiwango kikubwa ninakubaliana na angalizo lako lakini kumbuka sheria zetu haziwezi kurekebishwa bila kupitishwa na bunge.
 
Kwani kujengewa shule ndio kula mlungula! Vipi wale mawaziri walio kula mlungula hotelini London, mbona wao nyuzi zao hamzileti humu?
Vijana wa lumumba angalieni sana kabla hamjatuhumu, what goes around comes around, Nora ya zitto kajengewa Shula, what about wale walio lipiwa vyumba London na kuletewa usingizi wa kujivinjari now.
 
Hii nchi inawapumbavu wengi sana.
Hivi kuna mpinzani yeyote mwenye uwezo wa kufanya ufisadi tena wa kitaifa?

Yaani serekari na ccm kwa ujumla imuangalie mpinzani akiingia mikataba na kuhakikisha kwa njia moja au nyingine ufisadi unafanyika?

Jamani tulishajikwaa tufanye tu madiliko ili tusipotee tena.
Nadhani umesoma tu heading ya thread, kama umesoma andiko lote basi utakuwa hujaelewa.
 
Mimi nadhani anayetakiwa kujibu ni Zitto.

ACT-Wazalendo ni taasisi inayojitegemea na kwa mantiki hiyo, haiwezi kuingia kwenye masuala binafsi ya mwanachama wake au kiongozi wake.
Kiongozi anabeba image ya chama
Unless lile azimio la tabora linaruhusu kilichofanyika
 
Kwani Zitto ana mamlaka na maamuzi gani yenye impact katika suala hili! Kwann wasihongwe wenye mamlaka! Mhongaji gani atapoteza fedha zake kumhonga mtu asiyekuwa na mamlaka! Mbona mara mia hao wawekezaji wangu mjinga Lusinde ambaye anapiga makofi na CCM licha kuongea upupu!
 
Sasa hivi watu wajinga wanatafuta maandishi ya kuwachafua akina Lissu na Zitto; hakuna ata wajinga wanaotafuta maandishi yanayowajenga Mkapa na Kikwete.

Nchi ikiwa inatawaliwa na wapumbavu ni kazi sana wananchi wake kuendelea kifikra.
 
One of the biggest curses from which Tanzania is suffering - I do not say that other countries are free from it, but I think our condition is much worse - is bribery and corruption. That really is a poison in our future development as a nation.
Ila hiyo pesa mbona ndogo sana? Au hizo zilikuwa slice ya mkate mkubwa aliopewa yeye? Duuh mola tunusuru wana wa nchi yako!
 
One of the biggest curses from which Tanzania is suffering - I do not say that other countries are free from it, but I think our condition is much worse - is bribery and corruption. That really is a poison in our future development as a nation.
Na ambayo imeletwa na kusimikwa mizizi na chama tawala.... hadi mkaanzisha TAKUKURU na TUME YA MAADILI ambazo hazina meno

How dare u muongelee rushwa???? Mnatoa wapi moral authority
 
Wengi andiko hili naona kama hamkulielewa sana, labda ya malkia imekuwa sumu, lakini andiko lina kina chake cha kulitafakari.

1. Kuna mchangiaji kachangia hapo page two kaonesha vema kuwa haya waliyowahifanya barrick kama ambavyo ripoti inataka kudadisi pengine yakafanyika na leo na tayari mnaona Rais kama keshaingia mkenge, kwa maneno mengine katika vita usitangulize pesa mbele, utapewa utanyamaza so did ZZK

2. Ripoti hii inaamsha udadisi wa miaka ya 2011 na uzoefu wa sakata la madini, wengi mnaijibu kama vile ni part and parcel ya makinikia leo, this article can be used on current saga to reflect kile kilitokea enzi vuguvugu la madini lilipoongozwa na ZZK kitu kilipelekea akafukuzwa Bungeni.

Pia nimependa Research ya Huyu Adam inasema wabunge wengi ni Mazwazwa, hadi Barick walifikia kuona kama ZZK ndio Tishio wakati huo, na alipojengewa shule (hii ndio inayoonekana) akawa kama amezimwa na hata jamii ilitegemea Zito awe msumbufu wakati wa kuunda sheria lkn alikuwa kimyaaa ( udadisi wa rushwa unaibuka hapa katika tafti za mtafti husika).

Mwisho the big picture inayoamshwa ni hisia za kutafakari juu ya kile kilifanya zito kuwa kimya na Barrick kupeleka mradi Kigoma, inaweza kuwa ndio trick ileile waliofanya Barrick juzi, hasa ukizingatia kabisa weakness ya Rais wetu nikupenda Pesa, barrick wakatumia hiyo kumzima ay kum soften.

Nnaposema Rais wetu anapenda pesa yaweza isiwe (direct) anapenda kuongwa la! Rais huyu Anatamani kupata pesa either za maendeleo au kujiwekea stock serikalini, sasa hii Barrick wanaweza itumia vema na akashindwa kwenda kwenye kiini cha tatizo la nchi ila akahairisha tatizo kwasababu ametanguliza pesa na mihemuko, mbeleni madudu yakaendelea.

Note: Rais amedhihirisha mara kadhaa akiwa excited tu anakurupuka kufanya tamko, juzi ujio wa Barick ulimkuna akawaambia ni wanaume. Hii ilikiwa ni failure namba moja katika battle alioanzisha
Nayapenda mawazo na fikra kama hizi.

Ninashukuru Mkuu kwa mchango wako ambao unafikirisha kwa watu wenye fikra pana.

You've got it made.
 
Back
Top Bottom