tamimusalim
JF-Expert Member
- Jun 17, 2014
- 1,822
- 499
Nilikuwa sijawahi kufika Zanzibar. Ukweli nilikuwa nasikia mambo mengi na majina mengi kuhusu kisiwa hiki kama kisiwa cha marashi. Pia nilikuwa nasikia watu wakisifu uzuri wa kisiwa hiki, kwa upande fulani nilikuwa nasikia wanasiasa hasa wabunge toka Zanzibar wakilalamikia kuhusu kisiwa hiki kimaendeleo.
Ukweli ni kwamba, ukweli serikali ya Tanzania imekisahau kabisa kimaendeleo kisiwa hiki kwani hata miundombinu yake hasa barabara hairidhishi kabisa hasa barabara.
Ukweli zanzibar bado kabisa na ina tofauti kubwa na bara, hasa kimaendeleo. Pia Zanzibar bado ubaguzi upo dhidi ya wabara hili pia nililiona.
Naiomba serikali yetu ijaribu kuangalia Zanzibar kimaendeleo. Hata nyumba ya ghorofa 7 tu hamna zaidi ya jengo la BoT ambalo ndio inasemekana ndio refu Zanzibar.