Wakuu nimesikia mara kwa mara kwamba Wazanzibari wakilalamika kwamba mgao wa 4.5% ya misaada ipatayo Tanzania haijawahi kufikishwa Zanzibar, lakini kumbe mgao huo umeanza kuwasilishwa tangu mwaka 2001!
Source: Kutoka Bungeni Live wakati huu!
My take: Sijajua kwa nini Wazanzibari hulalamika kwa mambo ambayo hawastahili kulalamika! Huku kulalamika inonekana ni profession sasa![/QUOTE]
inawezekana hapo kwenye red ni moja ya nguzo kuu 5 za mzanzibari. simaanishi hivyo utakavyomaanisha. hahahahahaha