Hii ina ukweli nlishawahi sikia pia chifu kingalu mwana banzi wa waluguru alikuwa na mahusiano makubwa na wazaramo
Kwa ninavyojua mimi mzimu wa kingalu chimbuko lake ni wanyamwezi.
Huko zama za kale wanyamwezi walikuwa wakihamisha mizimu yao kuelekea ukanda wa pwani na targeted area ilikuwa ufikie bagamoyo lakini baadhi ya mizimu iligoma kufika pwani baada ya joto kuzidi kadri walivyokuwa wakielekea pwani hivyo mzimu ukatimkia milima ya unguu na ulugulu.
Na inasemekana kipindi kile Ditopile Mzuzuri alipompiga risasi dereva mjukuu wa mzee Mbonde(Bagamoyo nyumba kubwa) alienda kuomba tambiko kwenye mzimu wa kingwalu baada ya kuandamwa na roho wa mauti kwa muda mrefu. Alienda na jogoo wake kabla hata ibaada haijaanza yule jogoo alioza ghafla mzimu ukamfukuza ikifuatiwa na radi kubwa sana!!!
Hatimae usiku wa siku hiyohiyo Ditopile akaaga dunia!!!
Inasemekana mzee Mbonde ni mtu hatari sana kule Bagamoyo. Sasa baada ya mjukuu wake kufa alijiapiza hakuna msamaha Dito lazima afe licha ya akina Kikwete na yule rafiki kipenzi aliyeondolewa ikulu kumsihi mzee amchunie Dito... Sheikh Mbonde aligoma katakata!!!
Mahujaj wanamjua vizuri huyu mzee huwa anaenda Macca bila usafiri wowote na anawahi kufika kabla ya waliotumia usafiri wa ndege za wazungu...ππ:banghead::what:
Kwa ninavyojua mimi mzimu wa kingalu chimbuko lake ni wanyamwezi.
Huko zama za kale wanyamwezi walikuwa wakihamisha mizimu yao kuelekea ukanda wa pwani na targeted area ilikuwa ufikie bagamoyo lakini baadhi ya mizimu iligoma kufika pwani baada ya joto kuzidi kadri walivyokuwa wakielekea pwani hivyo mzimu ukatimkia milima ya unguu na ulugulu.
Na inasemekana kipindi kile Ditopile Mzuzuri alipompiga risasi dereva mjukuu wa mzee Mbonde(Bagamoyo nyumba kubwa) alienda kuomba tambiko kwenye mzimu wa kingwalu baada ya kuandamwa na roho wa mauti kwa muda mrefu.
Alienda na jogoo wake kabla hata ibaada haijaanza yule jogoo alioza ghafla mzimu ukamfukuza ikifuatiwa na radi kubwa sana!!!
Hatimae usiku wa siku hiyohiyo Ditopile akaaga dunia!!!
Inasemekana mzee Mbonde ni mtu hatari sana kule Bagamoyo. Sasa baada ya mjukuu wake kufa alijiapiza hakuna msamaha Dito lazima afe licha ya akina Kikwete na yule rafiki kipenzi aliyeondolewa ikulu kumsihi mzee amchunie Dito... Sheikh Mbonde aligoma katakata!!!
Mahujaj wanamjua vizuri huyu mzee huwa anaenda Macca bila usafiri wowote na anawahi kufika kabla ya waliotumia usafiri wa ndege za wazungu...ππ:banghead::what:
za kwenda ngomani?nilikuwa sijaelewa kwanini tabia za watu wa pwani zinafanania na waluguru na wandereko ila baada ya kusoma hiii mada nimeanza kuelewa nini chanzo
duuuh! simulizi tamu sana hii.Kwa ninavyojua mimi mzimu wa kingalu chimbuko lake ni wanyamwezi.
Huko zama za kale wanyamwezi walikuwa wakihamisha mizimu yao kuelekea ukanda wa pwani na targeted area ilikuwa ufikie bagamoyo lakini baadhi ya mizimu iligoma kufika pwani baada ya joto kuzidi kadri walivyokuwa wakielekea pwani hivyo mzimu ukatimkia milima ya unguu na ulugulu.
Na inasemekana kipindi kile Ditopile Mzuzuri alipompiga risasi dereva mjukuu wa mzee Mbonde(Bagamoyo nyumba kubwa) alienda kuomba tambiko kwenye mzimu wa kingwalu baada ya kuandamwa na roho wa mauti kwa muda mrefu.
Alienda na jogoo wake kabla hata ibaada haijaanza yule jogoo alioza ghafla mzimu ukamfukuza ikifuatiwa na radi kubwa sana!!!
Hatimae usiku wa siku hiyohiyo Ditopile akaaga dunia!!!
Inasemekana mzee Mbonde ni mtu hatari sana kule Bagamoyo. Sasa baada ya mjukuu wake kufa alijiapiza hakuna msamaha Dito lazima afe licha ya akina Kikwete na yule rafiki kipenzi aliyeondolewa ikulu kumsihi mzee amchunie Dito... Sheikh Mbonde aligoma katakata!!!
Mahujaj wanamjua vizuri huyu mzee huwa anaenda Macca bila usafiri wowote na anawahi kufika kabla ya waliotumia usafiri wa ndege za wazungu...ππ:banghead::what:
za kwenda ngomani?
yako tanga mkuuinawezekana pia ila kwenye tabia ya uongo na kuwa na maneno mengi wanafanana sana