Mkuu,umegusa kitu muhimu ambacho sisi wanaume tulio wengi hatukijui,assurance kwa mwanamke kiu na maji,yaani mwanamke ni delicate kwa jinsi alivyoumbwa,kuanzia mwili na akili,namaanisha mwanamke katika uahi wake wote anahitaji faraja(peace of mind),ili aweze kuishi,hii inamaanisha asipate misukosuko ya aina yoyote sababu yeye ni mtu waa kubaki kambini kwa wakati wote mwanaume anapokwenda kuwinda,hivyo basi yeye niwakuletewa mawindo na kupewa hug na bwana wake,huku akibembelezwa,na hii ina apply mpaka leo dot com au kidigitali,ukitaka demu akuzimie na akupende basi wewe muhakikishie kiukweli kwamba wewe ndio ngao yake au mlinzi wake against any hassle au worry ya aina yoyote,kuanzia finance,security,emotional things,grief,yaani uwe multy purpose kwake yeye.Je mifano aliyotoa ndo inajustify? Kama tunavyojua maisha yanabadilika siku assurance imetoweka mwanamke itakuwa katika hali gani?
Hahahahaha wanataka assurence wewe acha mbwembwekwa maana hiyo zile ndoa zilizofungwa Enzi za utawala wa JK sasa ziko mbioni kuvunjika? Kuna wadada wanajitoa muhanga na kujihaibisha mitandaoni kuwa Baba JK ninakumiss, mara utawasikia sijuwi JK yuko wapi anisaidie.....Maisha ni nusu nusu, you work, I work tunasukuma gurudumu la maisha pamoja si kutegemea kutoka kwa mwanamme tu. Ni ujinga kwa mwanamke hataki kufanya kazi au kujituma kwa namna yeyote kisa mwanamme atamsaidia kimaisha. Mademu wa kibongo muvi kwa kweli ni nuksi na ndiyo maana wanazidi kuchezewa akili na kuzeeshwa bila kuolewa.
Mmmh wanataka assurence si maneno matupu ulisema beby nimeishiwa mafuta akasema sina mtihani hapooYaani wewe acha tu, ndiyo maana wale makapuku wenye confidence wanachukua watoto wazuri, wewe jiamani na hata kama huna pesa mwambie don't worry baby, every thing is under control, hiyo tu inatosha. Sasa wewe kwenye situation unapanick unataka binti afanye nini?
Kwa hiyo unashauri nini kulingana na maisha ya sasa waendelee kupata uhakika wa kesho kwa mwanaume au watafute wa kwao?Mkuu,umegusa kitu muhimu ambacho sisi wanaume tulio wengi hatukijui,assurance kwa mwanamke kiu na maji,yaani mwanamke ni delicate kwa jinsi alivyoumbwa,kuanzia mwili na akili,namaanisha mwanamke katika uahi wake wote anahitaji faraja(peace of mind),ili aweze kuishi,hii inamaanisha asipate misukosuko ya aina yoyote sababu yeye ni mtu waa kubaki kambini kwa wakati wote mwanaume anapokwenda kuwinda,hivyo basi yeye niwakuletewa mawindo na kupewa hug na bwana wake,huku akibembelezwa,na hii ina apply mpaka leo dot com au kidigitali,ukitaka demu akuzimie na akupende basi wewe muhakikishie kiukweli kwamba wewe ndio ngao yake au mlinzi wake against any hassle au worry ya aina yoyote,kuanzia finance,security,emotional things,grief,yaani uwe multy purpose kwake yeye.