Kumbe wanaume nao huingia katika Hedhi!

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kumbe ndio maana pampas zangu zinawahigi kuisha babe[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
mimi koma sijasoma ila pale kwenye miaka ya ukomo wa hamu ya ngono ni chai!42?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kumbe ndio maana pampas zangu zinawahigi kuisha babe[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Ninyi ndyo mnaopotosha ukweli,inafikia mahali mnahalalisha homosexual kwa kusema "Mungu akamuumbia Adam mtu wa kufanana nae"
Haitoshi mnaanza kutazama kuwa mtu wa kufanana na Adam siyo Eva kwa kuwa Eva alikuwa na matiti,alikuwa anaingia breed,alikuwa na uke so,mtu wa kufanana na Adam ni mwanaume mwenzake...acheni ushetani
Mm kama monde arabe siwezi kupata hedhi
 
tafiti zenu uchwara [emoji706]
mood swings ni matokeo ya mwezi nchanga.
 
Utafiti fake

Mwanaume anakuwa na hasira kwa sababu ya mahangaiko ya maisha tu,

Njoo na tafiti kuonyesha hasira za mwanaume mwenye kipato kizuri na asiye na kipato kizuri na uhusianishe na hiyo unayoiita hedhi

Mwanaume hupata mafadhaiko ya kimaisha hasa pale ambapo mradi wake umeleta shida au yupo kipindi kigumu cha maisha

Chukua mwanaume mwenye kipato kizuri kwa mwaka halafu Pima kiwango chake cha hasira kwa kila mwezi,vitu viwili tofauti kabisa

Mwanaume anayekula na akashiba na ana maisha mazuri,na anajishughulisha na physical activities,hana ukomo wa kutotamani ngono

Miaka 30- 50 ni miaka ambayo wanawake wanapenda ngono sana,huu utafiti wa kusema 42 sijakubaliana nao

Ndio maana waathirika wengi ni kuanzia miaka hiyo

Rudi nyanjani tena uje na utafiti mwingine
 
Ni ushauri mzuri kwa kweri naamini ataufanyia kazi

Sent from my SM-G925F using JamiiForums mobile app
 
Huna akili ww mfyuuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]em tuachie mambo yetu ya chumbani ukoo,.
 
Upuuzi kama huu sijui kwanini mpaka sasa bado haujafutwa!!! Unajua maana ya hedhi au unapuyanga tu?
 
mumu buana...
Hii ni chabo ya JF usininyime raha pliiziiiii
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…