[QUOTE vidole viwili nani alikwambia ni alama ya chadema, tafuta wanaharakati wote utaona hiyo alama, kama sio hiyo utaona wamekunja ngumi...wakati mwingine vidole viwili vinamaanisha amani 'peace'[/QUOTE]
Kama sio alama ya cdm kwanini mwenyekiti wa ccm taifa asitumie alama hiyo?