Kumbe wadada/wachumba wanapenda malevidevi. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kumbe wadada/wachumba wanapenda malevidevi.

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Logo, Jun 9, 2011.

 1. Logo

  Logo JF-Expert Member

  #1
  Jun 9, 2011
  Joined: Jan 26, 2011
  Messages: 588
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nimefurahi sana kujua hili! Nimekuwa nikichumbia sana muda sio mrefu wananitosa, mimi nilikuwa na msomamo wa kipadre, hakuna game kabla ya ndoa! duh wiki mbili wananikimbia nilipochoka kuchumbia, nikaja kupata mwingine, nikaambiwa na rafiki yangu usipompa malevidevi atakuacha! nikajaribu bana yaaaaaaani wanapendaaaaaaaaaaaaaaa, teh teh teh usijidanganye unamchumba eti hutaki malevidevi kwa sababu wewe ni padili hahaaaaa watakuacha mpaka basi!
   
 2. Nazjaz

  Nazjaz JF-Expert Member

  #2
  Jun 9, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 5,345
  Likes Received: 1,132
  Trophy Points: 280
  utaokota na majini shaurilo
   
 3. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #3
  Jun 9, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  jaman,
  mbona jini ni KIUMBEEEEE,
   
 4. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #4
  Jun 9, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Napenda jinsi mnavyodanganyana
  mmmmmhhhhh eti unabadilisha
  msimamo wako kwa ajili ya mtu
  mwingine.... raha kweli kweli
   
 5. Sumba-Wanga

  Sumba-Wanga JF-Expert Member

  #5
  Jun 9, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 5,387
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Pole yako kaka! Ulikuwa unalima kwenye lami!
   
 6. Mentor

  Mentor JF-Expert Member

  #6
  Jun 9, 2011
  Joined: Oct 14, 2008
  Messages: 18,658
  Likes Received: 8,211
  Trophy Points: 280
  From the horse's mouth..do i nid to add more!
  Revelation 21:8
  Lakini watu waoga, wasioamini, wapotovu, wauaji, wazinzi, wachawi, waabudu sanamu, na waongo wote, mahali pao patakuwa ndani ya lile ziwa linalowaka moto na kiberiti; hicho ndicho kifo cha pili."
   
 7. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #7
  Jun 9, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,463
  Trophy Points: 280
  thread za mapenzi zinanichosha siku hizi...........lol
   
 8. Logo

  Logo JF-Expert Member

  #8
  Jun 9, 2011
  Joined: Jan 26, 2011
  Messages: 588
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  hahahaaaaaa kama uliliokota wewe pouwa! huyu ni mchumba wangu namfahamu miaka na miaka umemuwekea wewe jini?
   
 9. Logo

  Logo JF-Expert Member

  #9
  Jun 9, 2011
  Joined: Jan 26, 2011
  Messages: 588
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Zikikuchosha si usifungue na kusoma logout ukalale teh teh teh
   
 10. Logo

  Logo JF-Expert Member

  #10
  Jun 9, 2011
  Joined: Jan 26, 2011
  Messages: 588
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  duh hapo sina swali umenikalia kooni baba
   
 11. Logo

  Logo JF-Expert Member

  #11
  Jun 9, 2011
  Joined: Jan 26, 2011
  Messages: 588
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  aisee sikujua bana
   
 12. Logo

  Logo JF-Expert Member

  #12
  Jun 9, 2011
  Joined: Jan 26, 2011
  Messages: 588
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  si unajua ukweli ulivyo teh teh teh teh teh! wacha bana
   
 13. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #13
  Jun 9, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  What's this????
   
 14. wilbald

  wilbald JF-Expert Member

  #14
  Jun 9, 2011
  Joined: Dec 17, 2007
  Messages: 1,239
  Likes Received: 626
  Trophy Points: 280
  May be you reset your frequencies am sure you won't be bored.
  what i see from is this "you are tired of been tired"
   
 15. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #15
  Jun 9, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,087
  Trophy Points: 280
  sikufahamu
   
 16. Kichwa Ngumu

  Kichwa Ngumu JF-Expert Member

  #16
  Jun 9, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 1,726
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  nimewahi kushuhudia msichana alikataa harusi kisa amewahi kulala na bwana harusi mara nne kabla ya harusi na bwana harusi hakufanya lolote hata alipoambiwa alijibu amechoka, dem akasepa ndio maana wasichana wa sasa wanataka kufanya kabla ya kuona ili kama anaamua kujicommit basi ajicommit sehemu inayo faa.

  pia nimewahi kuuhudhuria kikao cha send off Bibi harusi mtarajiwa aliulizwa katika kikao cha send off , Jamaa umemtest yupo poa sio leo tunaodhesha kesho unakimbia kisha jamaa hakufikishi.
  walipendeza mkatest kwanza ili tusiaibike na kuingia gharama but wazazi wa binti hawakuwepo
   
 17. Sumba-Wanga

  Sumba-Wanga JF-Expert Member

  #17
  Jun 9, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 5,387
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135

  If you keep a dog, you must give what it eats! Period!!!
   
 18. Gaga

  Gaga JF-Expert Member

  #18
  Jun 9, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,565
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Siasa au dini itakufaa sana au wasemaje mkuu
   
 19. C

  Caroline Danzi JF-Expert Member

  #19
  Jun 9, 2011
  Joined: Dec 19, 2008
  Messages: 3,629
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  mh hiii kali wajameni.
   
 20. Gaga

  Gaga JF-Expert Member

  #20
  Jun 9, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,565
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Ukistaajabu ya Musa utaona ya .......
   
Loading...