mulwanaka
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 5,262
- 12,835
Ndugu zangu tutafuteni pesa tuacha kuendekeza uchawi udini uliozidi na wanawake, jamii zetu hazituthamini tukiwa masikini wanakuona kama nusu maiti kisa huna kitu
MwanaJF moja kasema eti Wabongo buana ni wanafiki sana yaani mwenye fweza hata akijamba ndani ya kikao watamtengenezea sentensi nzuri kwamba huyu anatatizo la kuumwa tumbo toka jana kwa hiyo tumvumilie wanafamilia watajibu ''haina shida tuendele na mambo mengine hilo tuliache mbona kawaida tu''
Wanaogopa hata kuziba pua japo kishuzi kinanuka mno wanahisi wataonekana wamemdharau jamaa
Sasa jamba wewe maskini utasemwa wewe mpaka utatamani uchukue kitanzi ukajinyonge.hayo ni kawaida hapa kwetu Afrika.
Mimi siko tayari kurudi nyumbani bila pesa bora nifie huku huku nikiwa natafuta kuliko kurudi nyumbani wanidhihaki kama half dead
Ukienda hospitali mateso demu unayepata wa hovyo huwezi kushinda kesi nk.
Kwa hiyo bora nifie huku trying kuliko kuishi nyumbani kama nusu mtu