Ponjoro wa Kinondoni JF-Expert Member Joined Jan 5, 2024 Posts 3,533 Reaction score 9,613 Jun 24, 2025 #1 GENTAMYCINE alijitamba sana kuwa wao ni watu wa kimya kimya na ndio imetoka hiyo. Haya boss kubwa kataitishwa katema bungo na ratiba ni kama ilivyopangwa π ππ Pole sana GENTAMYCINE pia pole kwa boss najua baada ya hekaheka hizi atazira.
GENTAMYCINE alijitamba sana kuwa wao ni watu wa kimya kimya na ndio imetoka hiyo. Haya boss kubwa kataitishwa katema bungo na ratiba ni kama ilivyopangwa π ππ Pole sana GENTAMYCINE pia pole kwa boss najua baada ya hekaheka hizi atazira.