mimi sikujua kama vazi hili linavaliwa na viongozi pia na kwa mila na desturi zetu huku kiongozi hawezi vaa kama Mama Obama na akatemdea mtaani kama hivyo.
tatizo sio linavaliwaje, tatizo ni maumbile. Akivaa mdada mwenye flat skrini nyuma, tumbo mbele na miguu kama toothpick hamlalamiki. Sasa kama mtu mashaallah afanyeje!
mawazo mgando shida sana "kwani mtu kuwa kiongozi inabadilisha utu wake? ana mahitaji kama mtu mwingine, ana shida kama mtu yeyote, anaumwa kama wengine, anapenda na kupendwa kama wengine. Msiwanyanyapae viongozi.