SAUTI YAKO
JF-Expert Member
- Jan 25, 2014
- 2,953
- 2,044
Kwani Kuna mwaka kuanzia nchi hii ipate Uhuru haijapewa mkopo?Kuna mradi sijui wa kufua umeme huko kwenye mto,kupitia taarifa ya habari pendwa nimeona tumepewa mkopo,nategemea mto huu mradi wake utaongeza umeme wa uhakika ukizangatia fedha yenyewe ya mkopo
ENZI ZA MWENDAZAKEKuna mradi sijui wa kufua umeme huko kwenye mto,kupitia taarifa ya habari pendwa nimeona tumepewa mkopo,nategemea mto huu mradi wake utaongeza umeme wa uhakika ukizangatia fedha yenyewe ya mkopo
Uzi unafundisha sana huu,Kuna mradi sijui wa kufua umeme huko kwenye mto,kupitia taarifa ya habari pendwa nimeona tumepewa mkopo,nategemea mto huu mradi wake utaongeza umeme wa uhakika ukizangatia fedha yenyewe ya mkopo
Kukopa si dhambi kama ni kwa ajili ya maendeleo yetu wenyewe. Dhambi ni kukopa zikaingia mifukoni mwa watu kwa matumizi binafsi au kulipana mishahara wakati mkopo ni kwa ajili ya maendeleo ya Watanzania wapendwa.Kuna mradi sijui wa kufua umeme huko kwenye mto,kupitia taarifa ya habari pendwa nimeona tumepewa mkopo,nategemea mto huu mradi wake utaongeza umeme wa uhakika ukizangatia fedha yenyewe ya mkopo
6 years ago I think you were outside of the country mkuu,miradi mingi ilikuwa inatekelezwa kwa fedha zetu wenyewe,misaada ilikuwa michache nadhani hata huu wa mto ni mmoja wapoKwani Kuna mwaka kuanzia nchi hii ipate Uhuru haijapewa mkopo?
Siku hizi unaongea ushuzi tupuENZI ZA MWENDAZAKE
Hiyo TV station ifungiwe kwa upotoshaji , bwawa tunajenga kwa fedha za ndani. Na ole kwa gazeti lolote litakalotoa picha za kukabidhiwa mkopo huu FONDIPEJI
Mungu hamtupi mja wake😊Kuna lijamaa lilikuwa linasema sisi ni dona kantree halafu cha ajabu kila mwaka deni la taifa linakuwa.
Mungu sio Athumani.
🤣 🤣bwawa tunajenga kwa fedha za ndani.
Mkuu unasahau tuli donate mahindi, vyandarua vya mbu na mablanketi kwa ndugu zetu wa Zimbabwe na Malawi walipopigwa na kimbunga kama sijakosea?Kuna lijamaa lilikuwa linasema sisi ni dona kantree halafu cha ajabu kila mwaka deni la taifa linakuwa.
Raha jipe mwenyeweSiku hizi unaongea ushuzi tupu
Nacheka kwa nguvu mno hapa FONDIPEJI. Ukweli tulinyanyasika mnoENZI ZA MWENDAZAKE
Hiyo TV station ifungiwe kwa upotoshaji , bwawa tunajenga kwa fedha za ndani. Na ole kwa gazeti lolote litakalotoa picha za kukabidhiwa mkopo huu FONDIPEJI
Tanzania tulipata UHURU wetu 17.03.2021Nacheka kwa nguvu mno hapa FONDIPEJI. Ukweli tulinyanyasika mno
Sifa za kijinga. Hospitali zako hazina dawa wewe kwa kutaka sifa unajifanya dona kantriMkuu unasahau tuli donate mahindi, vyandarua vya mbu na mablanketi kwa ndugu zetu wa Zimbabwe na Malawi walipopigwa na kimbunga kama sijakosea?
Hakuna cha "fedha zetu wenyewe" ulikuwa wongo mtupu!!6 years ago I think you were outside of the country mkuu,miradi mingi ilikuwa inatekelezwa kwa fedha zetu wenyewe,misaada ilikuwa michache nadhani hata huu wa mto ni mmoja wapo
Maskini Tanzania imeanza dumbukia katika ufisadi tena. Bei ya unit ya umeme haitashuka kama ilivyo tazamiwa!Kuna mradi sijui wa kufua umeme huko kwenye mto,kupitia taarifa ya habari pendwa nimeona tumepewa mkopo,nategemea mto huu mradi wake utaongeza umeme wa uhakika ukizangatia fedha yenyewe ya mkopo