bobby dolat
Senior Member
- May 18, 2015
- 167
- 263
Karibia wiki ya tatu sasa mshikaji wangu wa karibu sana amekua akitaka kunitambulisha kwa mchepuko wake mpya, mm na huyo mshikaji huwa hatufichani mambo yetu, tumekua kama ndugu, iwe misiba au furaha tunashirikiana
Kila siku amekua akidai huyo mtoto mpya aliyempata hivi karibuni ni mkali mno na anakata Kiuno feni haifiki, na kwamba anapewa vitu vingi na vizito mno kutoka kwa mwanamke huyo
Basi nikawa na hamu ya kumuona huyo mwanamke, mshikaji akawa anadai niwe na subra maana demu mwenyewe ni mke wa mtu hivyo kuonana ni kwa timing
Jumamosi iliyopita mshikaji akanipigia simu niende chimbo moja hivi kuwa yupo na ule mchepuko wake wanasubiria nyama huku wakinywa vinywaji then waingie chumbani maana Pana Lodge hapo hapo, nikasema nakuja, nikaenda
Sikuamini macho yangu kukuta mchepuko wenyewe ni mama deo mke wa mdogo wangu wa ukoo , alitaka kuanguka kwa hofu, mbaya zaidi mshikaji akawahi kunitambulisha kuwa yule ndio shemeji yangu, shemeji akainuka kwa aibu kubwa na kubeba vitu vyake na kuondoka bila kuongea chochote, yule bwana akabaki anashangaa, nikamwaleza kuwa yule ni mke wa kaka yangu, akawa ameduwaa, kiti moto kikaja, nikawa nakula huku mshikaji bado anashangaa
Nikamwambia sisi ni watu wazima yaliyotokea yameshatokea, tangu siku hiyo mshikaji ni kama ananikwepa hivi
Jambo la kushangaza, shemeji kaondoka nyumbani kwa mdogo wangu ila kwa ugomvi mwingine sio suala hili, mdogo wangu anashangaa sababu ugomvi huo walishaumaliza siku nyingi, demu yupo kwao sasa hivi, ila amekua akanipigia simu kila siku kuwa haamini kuwa sitasema anataka guarantee, ila amekiri kuwa hatarudia na kwamba tuonane tuliongee jambo hilo
Wadau sijui mnasemaje nimweleze tu ndugu yangu ili aelewe ana mwanamke wa aina gani ama nikae kimya tu
Wanawake ni viumbe wa ajabu sana, Kuna wakati huyu mwanamke nilimhitaji akanitolea nje akidai eti hawezi kumsaliti mumewe na blah blah nyingi, cha ajabu leo analikubali jitu lingine, hii ni akili kweli,? Sasa imekuaje?