Nimecheka mno! Hahahahahaaaa.... You made my day. Lol
Msanii... I wish you a wonderful and Lovely day. Happy Birthday :grouphug:
Tatizo hujatuma card za mwaliko bana. Hebu mention a few washtuke kidogo, maana hapa naona wadogo zangu kwa baba watoto Kaizer wana bidii na hawajatia mguu, si wachoyo wa salamu hawajaona tu. CC
gfsonwin,
DEMBA