Kumbe ni vipande sio Computer!

Walichomoa batani ya kuzimia/kuwasha. Wakachomoa key-board.....
 
Huyu Mahiga sijui anatuona sote tuna akili kama zake?
 
Kama zimechomolewa Hard disk...

Inamaanisha ndiyo kuibiwa taarifa kwenyewe huko...

Au hivyo vipande anamaanisha, ni keyboard, mouse na mouse pad...

Cc: mahondaw
 
Mtu anakwambia madawati ya shule yameibiwa.Mwalimu wa zamu anasema madawati ya shule hayajaibiwa ila yameibiwa madawati ya darasa la saba tu.
 
Mtu anakwambia madawati ya shule yameibiwa.Mwalimu wa zamu anasema madawati ya shule hayajaibiwa ila yameibiwa madawati ya darasa la saba tu.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Mkuu sio tena dawati watasema walichomoa misumali lakini mbao zote zipo salama.Wanaona bado watanzania ni wa miaka ya 1900.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…