Kumbe ni Uongo, Uzushi, Fitna, Majungu, Wivu na Kijicho dhidi ya mafanikio yake! Makonda wapuuze

Uenezi sasa wanipe hiyo Kazi mana kadi yangu ni ya zamani sana.Wakati mwingine waangalie watu nje ya mfumo wa CCM kuna watu wazuri sana wanaweza kupanga na kusimamia mambo shida ya nchi hii ni unafiki tu...Kila mtu muongo anadanganya viongozi nao huingia mkenge.

Nimeona kampeni huko Twitter ikitahadharisha watu kwenda Arusha kwa shuguli za utalii kisa Makonda sasa hiyo inaweza kuwa na impact mbaya.
 
Hata hizi tuhuma za Makonda kudhalilisha, ni tuhuma za kuzinyamazia tuu, with time zitayeyuka na kujifia zenyewe!.

Naunga mkono hoja
- Kumbe ni Uongo, Uzushi, Fitna, Majungu, Wivu na Kijicho dhidi ya mafanikio yake! Makonda wapuuze

- Pascal Mayalla ampongeza Makonda kuteuliwa mwenezi NEC taifa. Ampigia simu kumpongeza

- Wale mnaosubiri kwa hamu Makonda atumbuliwe, mtasubiri sana!. Ukiwa ni mpakwa mafuta, ni mpakwa mafuta!

- Mafanikio ya Makonda ni Uthibitisho Wa Jiwe walilolikataa Waashi litafanywa kuwa Jiwe Kuu la Pembeni

- Nikimwangalia Makonda, mambo anayoyafanya namuona kama Magufuli

- Je, Tanzania tunahitaji viongozi gani?. wajinga wachapakazi, au mangi meza wenye vyeti?.

- Bado kuna ubishi kuwa hiki ni chuma? Je, chuma hiki ni chuma kingine ila ni kama kile au chuma hiki ni kile kile kimerejea kivingine?

P
 
kumbe hata uvamizi wa Clouds ni uzushi!
Mkuu Mindyou ,asante kwa bandiko hili Paul Makonda: Sijawahi kuvamia Clouds Media. Nimetumika sana na Clouds, Ruge alikuwa ananipigia sana simu
Naunga mkono hoja ya Makonda na niliwahi kusema humu mengi kunhusu mtu huyu na miongoni mwake ni haya 。。。
P
 
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…