Kumbe ni Uongo, Uzushi, Fitna, Majungu, Wivu na Kijicho dhidi ya mafanikio yake! Makonda wapuuze

Na je kama si kweli, pia nawe thibitisha kuwa utatuambia nini?
Kwani walioambiwa wakahojiwe kituo cha polisi kwa kuhisiwa kujihusisha na madawa na baada ya hapo ikagundulika kuwa sio waliambiwa nini? Mbona mnakua na double standard
 
Unajua njaa ikizidi unaweza kuona hata visivyoonekana au visivyo na uhalisia..,ie hallucinations...!!!!)))
 
Mkuu unaandika maandishi debe kumbe utumbo tu.

Unajitafunatafuna ktk maneno.

Tumbo baya sana. Usipoangalia tumbo litakupeleka shimoni
 
hahahaha.......sarcasm!
 
hahahaha.......sarcasm!
Sasa kama ni uwongo kinachomliza ni nini haswa wakati ndo alitakiwa aweke gia namba tano kabisa sasa hivi ndo kwanzaaaa kaogopa unadhani kwa watu wenye akili si tushaelewa
 
Hivi wewe una vyeti safi vingapi?
Mbona hujawahi kuwa hata Mjumbe wa mtaa??
Timiza wajibu, vyeti ni makaratasi tu
Akubali tu wajibu tunajua anafanya ila kumbuka kiongozi ni kiooo je wanafunzi na wafanyakazi wa uma wanaofukuzwa inakuwaje kama yeye anaachwa aseme ukweli ili ieleweke kwa jamiiii. Kwa sasa kila mtu anafikiria na jinsi anavyolia kwa kukosa confidence huenda ika prove jamaaa kweli vyegi hana
 
Mwambie boya hyo
 
Sasa wewe kama uandishi wako ni habari za maendeleo. Suala la makonda umeona halikuhusu unaliongelea la nini???? kaa pembeni wapishe wanye interest na hili watuletee habari za maana.
 
Kiongozi uchochozi wa siasa kweli hauna maana katika kujenga Tanzania yetu Leo huyo ndugu anaesema makonda asitufanye wapimbavu if it's not jealous why didn't him report this matter before rise of him being suspected? Alafu ya kuwa kiongozi wa siasa haikuhitaji we kuwa na phd sifa ni ujue kusoma na kuandika japo utendaji kazi wako uwe mzr sio kwamba Una phd alafu utendaji ovyo tukukubali IFAHAMIKE HATUONGOZWI ELIMU BALI HEKIMA GUYS KWA MNAO SHADADIA KWA KUMUUNGA MKONO HUYO JAMAA anaesema ye ana vyeti naomba serikali imuchunguze hakuna aliee juu ya sheria ye anakuwa na vyeti vya mtu Kama Nani ye Baraza la Mitihani ..Tufikirie jamani ili tuijenge serikali yetu yenye kujenga nasi uchochozi wa masirahi..I LOVE TANZANIA
 
PA



PASKALI UMECHEMKA SANA, HII ISHU NI NDOGO SANA, LAKINI MAKONDA ANAJUA UKWELI WAKE...IPO HIVI NDUGU YETU PIUS LULENDE ALIVYOTEULIWA NA MH. RAIS ALIANDAMWA SANA KWAMBA YEYE NI MUHUDUMU WA HOTELI HANA HATA CHETI CHA DIPLOMA, LAKINI MBONA ALIWEZA KUJITOKEZA MBELE YA WAANDISHI WA HABARI AKAONESHA CHETI CHAKE CHA MASTERS ALICHOPATA JUCO, KWA NINI KWA MAKONDA IMESHINDIKANA?
 
Penye haki simamia ukweli ukipindisha basi hadhi yako km mtu unayeheshimika inashuka.
 
"Presumption of innocence until proven guilty"

Nakubaliana na wewe ila umeonekana kujiaminisha kwa 100% kuwa ni tuhuma tu kisa hajatumbuliwa.

Kutumbua nako sio mchezo maana mwisho wa siku inaonekana na mteuaji nae ni wale.

So kitendo Cha mkuu kupiga kimya kisikupe confidence na ujasiri wa kuandika haya uliyoandika. Je, siku ikibainika ni kweli utakuja kutuambia nini?
 
Huyu mleta mada.Nahisi anaunyemrlea UDC.Ndio maana anajikomba kwa Makonda na Magu,unafikiri Atakupigia debe kwa mkuu.Sahau kabisaa.Mwandishishi asiye jitambua.,au na wewe una maslahi kule lumumba?kwani watu ealumumba hawajitambui kama wapo wanao jbtambua basi wapo kwa maslahi yao binafsi.
 
Tope la kibondo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…