Kumbe ni Uongo, Uzushi, Fitna, Majungu, Wivu na Kijicho dhidi ya mafanikio yake! Makonda wapuuze

Kwa nini hao watu wa maadili wangoje mtu apeleke rasmi ofisini kwao malalamiko !?

Kweli tume ya maadili iko kwa faida ya taifa au kulinda watu Fulani ?

Wanashindwa nini serikali kumfuata Gwajima ambaye hajajificha na audio iko mitandaoni ?
Gwajima naamini Makondo ata deal naye mwenyewe ila ninachojua ile secretariate ina taratibu zake za kufanya kazi. Lazima awepo mwakilishi wa wadai anayeomba kujua.

Gwajima naye ukifuatilia audio amekwepa kuwa direct. Anamuongelea Bashite ambaye ni non existense. Then daudi na bwana yule. Ni sawa na mtu aongee kwa lugha ya picha halafu wewe ujihisi tu na kwenda kumshitaki haushindi hata siku moja.
 
Mbona wamsemea ? mwache aseme mwenyewe kama nchemaba
 
Binafsi nimerudia kuusoma uzi wako zaidi ya mara tano sijakuelewa ulichoandika Paskali.
 
Hivi wewe ni yule Pascal Mayalla uliyemtwanga maswali siku ile Rais JPM akajibu kwa kujikokikoki? Mbona hapa umepwaya hivi?
 
Siamini kama amefika hapo alipo kwa hicho cheti mdosho.
Ila amefika hapo kwa jitihada binafsi.
Mkuu wa mkoa wa Moro ambaye ana PhD alipotumbuliwa alilia kilio cha jibwa koko lisilo na meno.
Macropolo mnasema hana nyaraka halali amediriki na ameweza.
Macropolo hatumbuliwi kwa under performance ila kavua kwa nyaraka za kurinia asali.
hata akitolewa Leo hatolia kilio cha mbwa koko kama yule jamaa wa moroyomse
 
Yule mujahidi...?
 
Hivi huyu Pascal Mayalla ndio yule Pasco wa JF au*ni watu wawili tofauti . ?
 
Dah, nikajua umeleta vyeti vyake Mkuu.. Kumbe wale wale tu, umejipambanua sana mwanzoni kwa Mkwara kua mwandishi mtafiti, acha kiki mkuu.

[HASHTAG]#vyetimubashara[/HASHTAG]
Leta vyeti acha maneno
 
Hoja yako nyepesi mno,na haina mashiko.navumjua koromije anavyopenda sifa kwa kashifa hii,angekua na vyeti angeonesha,ila kwa kua hana ndomana yupo kimya.
 
Mayalla njaa inakusumbua sana kaka angu.....qwa kipindi kifupi tangu hili sakata la huyu kilaza lianze nimefatilia nyuzi zako humu nimegundua njaa inakusumbua Sana kaka amka ufanye kutafuta habari za maana sio ujinga kama huu msomi mzima kama unavojiita ....Tulitegemea nyie waandishi wa habari ndio wakupreshalize hili jambo mpaka vyeti vijulikane ni vyake au laa Leo unatuletea vithread vyako vilivojaa njaa kama jina lako lilivotafsiriwa na baba jesca.....
Utaumbuka vibaya sana mayala siku uqweli ukijulikana kuwa sio paul c makonda ni Daud Albert bashite......
 
Mwaka 2025 nitampa kura yangu Makonda awe Rais ila kwa masharti kuwa atumie jina lake halisi la Bashite. Mkatoliki gani watutia aibu wewe?????
 
Yaani mtu aache kazi afuatilie maisha ya Makonda na shule zote walizosoma.
Hivi watu wote waliohitimu chuo kikuu wanatumia majina waliyoanza nayo darasa la kwanza au wote waliobadili majina wameiba cheti?
By the way kuna mwenye degree anayeomba kazi akapeleka na cheti chake cha form 4 na shule ya msingi?
 
Kwahiyo kumbe haina haja ya kufaulu form four si ndio? Au kwakua inamuhusu mtu ambaye una mapenzi naye? Ifike wakati sheria itumike kwa kila mtu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…