mkuu natumaini umeona namba nyeupe tu za nyuma....kwani tz hatuna namba nyeupe??Hiyo gari siyo ya Tanzania hizo ni style za Burundi na DRC
Ilisha mlipa mkuu hapo anakula mafao tu.Duu hivi itamlipa kweli kutengeneza roof na mlango wa nyuma
Naona hapa kazi tuIlisha mlipa mkuu hapo anakula mafao tu.