Viongozi wetu wengi ni vilaza ukiacha baadhi ya vipanga kama Dr Magufuli aliyepitia tanuru kali la UDSM, wanadhani kuitwa ma-Dr ni sifa kumbe ni aibu na kushusha kiwango cha elimu ya TZ, kila mtu ni Dr huku nchi ikiyumba kiuongozi! Afrika nzima na Duniani kote hakuna nchi yenye viongozi vilaza wajiitao Dr kama TZ.