Kumbe ni askari Magereza

Kumbe ni askari Magereza

Mr pianoman

JF-Expert Member
Joined
May 22, 2019
Posts
2,609
Reaction score
6,357
Huyu mwamba alicheza Movie ya MISUKOSUKO akiwa kama RPC mla rushwa movie iliyo tamba sana na inayo endelea kutamba mpaka sasa.

Picha ya kwanza akiwa kwenye majukumu yake kama askari Magereza. Picha zinazo fuata akiwa katika kazi yake ya sanaa.
Screenshot_2020-07-13-10-02-17-1.jpg
Screenshot_2020-07-13-15-44-09.jpg
Screenshot_2020-07-13-15-53-52-1.jpg
 
Hivi inpekta mwenyewe kwenye hiyo muvi yuko wapi siku hizi?
 
Back
Top Bottom