Kumbe ndivyo ilivyokuwa?

Kumbe ndivyo ilivyokuwa?

Mphamvu

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2011
Posts
10,702
Reaction score
3,345
Watu walidai ooooh, Man wanabebwa, mara sijui nini...
Kumbe dah?
294840_275805182438780_216056008413698_1095453_1789112032_n.jpg
Natumai siku ya siku itakuwa hivi...
225091_216056448413654_216056008413698_840853_5669740_n.jpg
 
hebu sema ile penati ya pili ilikua hakiii......! hebu wanaosema huu ni upumbavu watoe comment
 
web ni united damu ndo maana hata babel akiwa liverpool alimtweet na jezi ya united a pure english ref biased
 
jamaa hili limezidisha mahaba hata soni halioni!!!!!loh fergiesrentboy.jpg
 
Nilishangaa sana siku ile man alivyocheza na chelsea,man walikuwa walishachapwa lakini cinema iliyofanyika hata za kihindi hazioni ndani,yaani aibu mtupu
 
Yaani huyu refaa bora man wamsajili anawasaidia sana
 
Penalrti ya pili ilikuwa halali kutolewa. Kilichofanyika ni mbinu za mshambuliaji mahili aliyedhibitiwa na mabeki kutafuta njia mbadala za kuwahadaa na kuwaingiza mkenge walinzi mabwege ili wa-commit serious foul katika eneo la hatari. Kwa maneno mengine dogo alijirengesha na beki yule **** akaingia mkenge! Na huo ndio mpira..unadunda.
 
Bila ya kuitaja Man united hamjisikii raha kabisa. Inawachoma eeh? badilisheni matokeo basi.
 
Back
Top Bottom