Mtambuzi Platinum Member Joined Oct 29, 2008 Posts 8,809 Reaction score 15,438 Dec 20, 2012 #1 Wanasaikolojia wanadai wamethibitisha kwamba wasichana wengi hujikuta wakiolewa na wanaume ambao ni sawa na baba zao kitabia. Kumbe ndio maana akina mama wengi huwa wanalia sana wakati binti zao wanapoolewa……!
Wanasaikolojia wanadai wamethibitisha kwamba wasichana wengi hujikuta wakiolewa na wanaume ambao ni sawa na baba zao kitabia. Kumbe ndio maana akina mama wengi huwa wanalia sana wakati binti zao wanapoolewa……!
M Mtoto wa kitaa Senior Member Joined Nov 7, 2012 Posts 149 Reaction score 17 Dec 20, 2012 #2 Umejueje.
SnowBall JF-Expert Member Joined Sep 13, 2011 Posts 3,052 Reaction score 2,846 Dec 20, 2012 #3 I still don't get it dude..would you go some extra-miles??
Suprise JF-Expert Member Joined Nov 2, 2012 Posts 2,696 Reaction score 1,063 Dec 20, 2012 #4 mtambuzi ya leo mbona fupiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
King’asti Platinum Member Joined Nov 26, 2009 Posts 27,866 Reaction score 24,976 Dec 20, 2012 #5 Its true daddii. Ila Paw sijui kama aanafanana na wewe manake siku hizi una tabia!
T tininti Member Joined Apr 11, 2011 Posts 68 Reaction score 26 Dec 20, 2012 #6 Mtambuzi mbona unataka kutunyima uhondo? nilishajiandaa kupata detailed strory halafu ndo umemaliza kifupi hivyo?
Mtambuzi mbona unataka kutunyima uhondo? nilishajiandaa kupata detailed strory halafu ndo umemaliza kifupi hivyo?
Zamaulid JF-Expert Member Joined May 25, 2009 Posts 19,955 Reaction score 16,006 Dec 20, 2012 #7 1.wanawaonea wivu kwa vile mwanaume ni sawa na mme wake 2. kama mme wake ni mkorofi anadhani na mwanae ameolewa na mme mkorofi 3. kama mme wake ana dushelele kuuuubwa la kuumiza au ndoooooogo kibamia anamhurumia mwanae! ...
1.wanawaonea wivu kwa vile mwanaume ni sawa na mme wake 2. kama mme wake ni mkorofi anadhani na mwanae ameolewa na mme mkorofi 3. kama mme wake ana dushelele kuuuubwa la kuumiza au ndoooooogo kibamia anamhurumia mwanae! ...
Evelyn Salt JF-Expert Member Joined Jan 5, 2012 Posts 77,104 Reaction score 165,321 Dec 20, 2012 #8 He he he kama kuna ukweli hapo basi wangu atalia sana........
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 76,354 Reaction score 108,475 Dec 20, 2012 #9 Suprise said: mtambuzi ya leo mbona fupiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii Click to expand... unataka akupe ndefuuuuuu!!!
Suprise said: mtambuzi ya leo mbona fupiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii Click to expand... unataka akupe ndefuuuuuu!!!
Zamaulid JF-Expert Member Joined May 25, 2009 Posts 19,955 Reaction score 16,006 Dec 20, 2012 #10 Evelyn Salt said: He he he kama kuna ukweli hapo basi wangu atalia sana........ Click to expand... kwa sababu baba yako anasifa zipi zitazo mfanya mama yako alie!!!
Evelyn Salt said: He he he kama kuna ukweli hapo basi wangu atalia sana........ Click to expand... kwa sababu baba yako anasifa zipi zitazo mfanya mama yako alie!!!
Suprise JF-Expert Member Joined Nov 2, 2012 Posts 2,696 Reaction score 1,063 Dec 20, 2012 #11 watu8 said: unataka akupe ndefuuuuuu!!! Click to expand... nimezoea kila cku kupata ndefu bana, leo naona kafupiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii imenibidi niulize kulikoni au ndo washamchakachua
watu8 said: unataka akupe ndefuuuuuu!!! Click to expand... nimezoea kila cku kupata ndefu bana, leo naona kafupiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii imenibidi niulize kulikoni au ndo washamchakachua
Evelyn Salt JF-Expert Member Joined Jan 5, 2012 Posts 77,104 Reaction score 165,321 Dec 20, 2012 #12 Zamaulid said: kwa sababu baba yako anasifa zipi zitazo mfanya mama yako alie!!! Click to expand... Mpole, mcheshi, anajali n.k n.k namaanisha atalia kwa furaha teh!!!!
Zamaulid said: kwa sababu baba yako anasifa zipi zitazo mfanya mama yako alie!!! Click to expand... Mpole, mcheshi, anajali n.k n.k namaanisha atalia kwa furaha teh!!!!
Zamaulid JF-Expert Member Joined May 25, 2009 Posts 19,955 Reaction score 16,006 Dec 20, 2012 #13 Evelyn Salt said: Mpole, mcheshi, anajali n.k n.k namaanisha atalia kwa furaha teh!!!! Click to expand... katika mapenzi hiyo siyo furaha,kulingana na huo utafiti ina maana atakuwa anakuona wivu!!
Evelyn Salt said: Mpole, mcheshi, anajali n.k n.k namaanisha atalia kwa furaha teh!!!! Click to expand... katika mapenzi hiyo siyo furaha,kulingana na huo utafiti ina maana atakuwa anakuona wivu!!
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 76,354 Reaction score 108,475 Dec 20, 2012 #14 Suprise said: nimezoea kila cku kupata ndefu bana, leo naona kafupiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii imenibidi niulize kulikoni au ndo washamchakachua Click to expand... na kweli ndefuuu huwa ni tamu, hizi fupi hazifikishi popote unaishia kubaki na kiu.
Suprise said: nimezoea kila cku kupata ndefu bana, leo naona kafupiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii imenibidi niulize kulikoni au ndo washamchakachua Click to expand... na kweli ndefuuu huwa ni tamu, hizi fupi hazifikishi popote unaishia kubaki na kiu.
Z Zero One Two JF-Expert Member Joined Sep 16, 2007 Posts 9,346 Reaction score 3,033 Dec 20, 2012 #15 Kauli yako mkuu' subiri wachambuzi waje watu8 said: na kweli ndefuuu huwa ni tamu, hizi fupi hazifikishi popote unaishia kubaki na kiu. Click to expand...
Kauli yako mkuu' subiri wachambuzi waje watu8 said: na kweli ndefuuu huwa ni tamu, hizi fupi hazifikishi popote unaishia kubaki na kiu. Click to expand...
Evelyn Salt JF-Expert Member Joined Jan 5, 2012 Posts 77,104 Reaction score 165,321 Dec 20, 2012 #16 Zamaulid said: katika mapenzi hiyo siyo furaha,kulingana na huo utafiti ina maana atakuwa anakuona wivu!! Click to expand... Sijaelewa hapo...how could it be mzazi amuonee wivu mtoto?
Zamaulid said: katika mapenzi hiyo siyo furaha,kulingana na huo utafiti ina maana atakuwa anakuona wivu!! Click to expand... Sijaelewa hapo...how could it be mzazi amuonee wivu mtoto?
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 76,354 Reaction score 108,475 Dec 20, 2012 #17 Ismail N. Juma said: Kauli yako mkuu' subiri wachambuzi waje Click to expand... Hahahah...ninayemjibu tu mwenyewe haelewi!!
Ismail N. Juma said: Kauli yako mkuu' subiri wachambuzi waje Click to expand... Hahahah...ninayemjibu tu mwenyewe haelewi!!
Evelyn Salt JF-Expert Member Joined Jan 5, 2012 Posts 77,104 Reaction score 165,321 Dec 20, 2012 #18 Suprise said: nimezoea kila cku kupata ndefu bana, leo naona kafupiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii imenibidi niulize kulikoni au ndo washamchakachua Click to expand... Huwa zinachosha bwana....hii ya leo safi sana Thread ndefu zinachosha kusoma!!!!
Suprise said: nimezoea kila cku kupata ndefu bana, leo naona kafupiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii imenibidi niulize kulikoni au ndo washamchakachua Click to expand... Huwa zinachosha bwana....hii ya leo safi sana Thread ndefu zinachosha kusoma!!!!
Husninyo Platinum Member Joined Oct 24, 2010 Posts 24,167 Reaction score 10,226 Dec 20, 2012 #19 Suprise said: mtambuzi ya leo mbona fupiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii Click to expand... ndio nzuri
Suprise said: mtambuzi ya leo mbona fupiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii Click to expand... ndio nzuri
BADILI TABIA JF-Expert Member Joined Jun 13, 2011 Posts 32,766 Reaction score 23,217 Dec 20, 2012 #20 kwa hiyo kama mume/baba mgegedaji anahofia mwanae kuvaa miwaya????