Kumbe ndege ya US ilitunguliwa na Iran proxy

Kumbe ndege ya US ilitunguliwa na Iran proxy

kimsboy

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2016
Posts
11,120
Reaction score
24,397
Hyo ndege ilodondoka na kuua wanamgambo 6 wa kimarekani ilitunguliwa na kombora la wanaharakati wanaoungwa mkono na Iran

Na walitumia drone mpya za Iran ambazo zina shape ya kombora la kutungulia ndege

Halafu wanatudanganya eti ni hitilafu ya anga matapeli hawa

Wanamgambo 6 wamekufa hapo hapo hope now wapo kuzimu huko kwa kosa la kufa kwa ajili ya taifa la hovyo la Isra-hell
20260313_075839.jpg
 
Waache wadanganye tu ila maadam wamekufa basi habari njema
 
Marekani haiwezi kusema ukweli kama inapigwa kichapo cha Kamanda Sirro(mbwa koko) kama Mandonga mtu kazi hata apigwe kichapo vipi atatafuta la kujitetea tu🤣🤣
 
Ukisoma mada za wafia USA/ Israel na wafia Iran humu unabaki kucheka tuu, kila mtu anavutia kwake 😂
 
Back
Top Bottom