mchorazombie
JF-Expert Member
- Jul 3, 2013
- 282
- 114
- Thread starter
-
- #101
Kwani umejuaje katoka kuchakachuliwa? Na Mzee ndani? Labda alikuwa anapanga vitu chumbani huko
Heaven SentSisemi kwamba house girls hawana haki ya kupenda au kupendwa. Ila ukweli mchungu ni kwamba wadada wa kazi wengi wanajikuta kwenye mahusiano na watoto wa kiume na mababa wenye nyumba sio kwa kupenda, wengi hawapendi ila wanajikuta tu wanakubali ili kulinda "vibarua vyao". Mdada hajiwezi, na anawaza je nikikataa nikafukuzwa, ntafanyaje na haya maisha.
Afu hawa wadada wa kazi ni kama watoto wa familia husika, mkatongozage huko nje jamani. Familia nyingine ptuuu, ndo madomo zege au kuonea tu mabinti za watu? Huwa mnakuwaga na nia za kuwaoa kweli, au kusuuza tu mirungu yenu. Hawa hata wakisema huyu mdada afukuzwe, akija mdada mwingine watamtongoza tu kama kawaida yao. Solution ni wao wenyewe kuanza kujiheshimu na kuwaheshimu hao madada. Muwe na aibu, muwe na Utu
Aah nimekuelewa vizuri mpendwa. Me niliongelea tu tabia za familia nyingi kutake advantage ya hawa wasichana na kuwafanyia ubazazi. Wengi wao hawana uwezo wa kupaza sauti na kusema hapana,....tuwaheshimu na kuwalindaHeaven Sent
Umenena kweli kabisa. Ila hakuna justification utakayotoa kwa Mungu au mwanadamu kwamba house girl amelala na baba na mtoto kwa sababu ya kibarua chake. No way. Tangu tunakuwa ni taboo kabisa na wewe mwenyewe unaona wakati unakuwa kwamba kulala na ndugu hairuhusiwi. Au kulala na baba na mtoto wake wa kiume hairuhusiwi au kulala na mama na mtoto wake wa kike. Sijustify baba na mtoto kulala na mwanae ila house girl kwa kujua kabisa kulala na baba na mtoto ni extreme.
Wapo mahouse girl wengi wameacha kazi baada ya baba wenye nyumba kuwataka kimapenzi lakini wanasurvive. Na Mungu anaendelea kuwalinda.
Umenena vyema. Sipunguzi hata nukta.Aah nimekuelewa vizuri mpendwa. Me niliongelea tu tabia za familia nyingi kutake advantage ya hawa wasichana na kuwafanyia ubazazi. Wengi wao hawana uwezo wa kupaza sauti na kusema hapana,....tuwaheshimu na kuwalinda
Atachukua nafasi ya Beki 3 kwa Dingi ake..Utapata faida gani?
Hatari nyingine ni.kuwa huyu houseboy hachelewi kuwa baba yake mdogo....Mfanyie zengwe beki tatu atimuliwe...
Mnaweza weka houseboy..kama na huyo msure wako akimMendea basi kunatatizo hapo😀😀😀
Yani kwa mfano we ndo ungekuwa osigelo wetu enzi hizo... hivi sasa ungekuwa unanilelea wanangu.Aah nimekuelewa vizuri mpendwa. Me niliongelea tu tabia za familia nyingi kutake advantage ya hawa wasichana na kuwafanyia ubazazi. Wengi wao hawana uwezo wa kupaza sauti na kusema hapana,....tuwaheshimu na kuwalinda
Hahaha kwenda zako bazazi weweYani kwa mfano we ndo ungekuwa osigelo wetu enzi hizo... hivi sasa ungekuwa unanilelea wanangu.
Mi na osigelo enzi hizo ilikuwa kama ndimu na kachumbari
Looo... unamdhalilisha mtumishi wa Mungu. Shauri zako!Hahaha kwenda zako bazazi wewe
Poa mkuu Ila si unajuatena nimemaliza Chuo na Kama miezi 5 hata channel bado hazija set frsh, Ila kujikataa maskani nitajikataa tu b'se hata Mimi napenda niwe huru zaid.
Coment zingne had raha kuzsoma rudiaMpe makavu mzee.. Tunza siri bimdashi asijue.
Ukiweza muonye huyo Full back Wa kushoto, mwambie aache kupanda kwenda kushambulia.. Na kujisahau kurudi kukaba, atachomesha timu
Ha ha ha ha ha atulie barabara ichongwe lolAcha wivu mshua ni tingatinga anakuchongea road
Kabisa! Maana tusiishi kwa hisia!Maskini hapana...! Huyu mama wa watu tumtoe hapa, yabaki haya mabazazi