Kumbe nacheza uwanja mmoja na baba

"...Kizuri daima hakidumu, shida kitaletewa tu suluhu sio kmwambia mzee wako, huyo dada kashapoteza Dira na life gumu alilopitia ndo linamtia hasira"
 
Huwezi kujua aliyeanza nani... Ila huyo binti kiboko anaifahamu ya baba na ya mtoto... Huu ni uuaji wa wazi kabisa
Kwa akili za ki fullback aliona afanye hivyo kulinda ajira yake kwani anaona hana cha kupoteza kufanya colabo hiyo.Hapo ndipo maadili yametufikisha wanamume sisi waqt mwingine tunakera sasa hata kama ni upweke ndo ufanye self container(yaani unamalizia kila kitu ndani)?dogo kausha tu usipige filimbi kwa mshua wala bimkubwa wala huyo expert kufa kizungu ila achana nae.
 
Huwa sipendi vihousegirl ambavyo havijielewi inawezekana na huko nje kana wanaume kibao
 
We kaa na mshua kama wanaume mjadili hali ya mambo(kuhusu mahusiano yenu na huyo b3) ilipofikia Kisha mpate suluhisho juu ya nini cha kufanya kuishi kwa amani kama familia kwa sababu usipoongea na mshua huyo boya atawachanganya na kuharibu mahusiano yenu kama baba na mtoto achilia mbali kuvunja ndoa na kusambaratisha famΓ­lia.
 
duh usiseme mkuu utaafarakanisha ndoa ya wazazi wako... muhimu ni kuacha mahusiano na huyo binti na pia jitahidi kufanya binti ajue kuwa unajua mshua anapiga hapo...... au kama vipi potezea mazima
 
mimi imeniuma tu jinsi mshua wako anamgonga chumbani kwa mama .. hapo ndiyo imeniuma zaidi .. angemgongea hata nje tu
 
Ila kuna ma beki 3 wengine watamu nyie acheni tu. Lol
Nakumbuka kitambo aliletwa beki 3 flan home mtoto wa kipare (uzuri maza alikua na tabia ya kuwafanyia check up at tyms bila wao kujijua just for family safety and all cz madogo walikua young at the time)

Tokea nimpande yule mtoto marupurupu kwangu home pale yakawa hayaishi. Tehe nguo zangu narudi zimefuliwa, safi, zimepigwa pasi sanaa tu. Daaah

Yaweza ikawa mleta mada analia na mengi. Hahaha
 
Usiingilie mahusiano ya wazazi wako,kwani unawajua wanatembea na mama yako,inawezekana baba anawajua na hawezi kukuambia wewe, maliza shule, tafuta kazi kaanzishe familia yako ndiyo ujue changamoto za ku raise family.
 

Yupo beki tatu aliangamiza familia nzima, na walikuja jua source in beki tatu, wakati wakiugua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…