Acha uzembe yaani 14 yrs bado unawaza mambo ya kitoto? Sasa yeye mtu mzima anatongozwa na watu kwa hiyo ulitaka asitoe mzigo kwani wewe alikuwa anakujua? Wewe wakati unamfuata na kuyajenga Naye ilikuwa bikra? Yaani sisi wanaume sometimes sijui tunawazaga nini yaani MKE unaishi nae vizuri anakuheshimu kumbe wewe unafundo moyoni kwamba kwanini aliwahi kugawa Kwa wengine hivi upo serious kweli? Sasa ikitokea sasa hivi ukamfuma au ukapata tetesi kwamba Kuna mwamba anaekula Si utakufa on the spot? Acha ubwege wewe Jenga familia mpende mkeo kama unavyoupenda mchepuko wakoInatokea hii
Ilinitokea mm kwa shemeji yenu. Nimeenda kuposa fresh sasa mm sitakagi mambo mengi nliwambia nitaenda peke yangu sina wa kunisindikiza. Sister ikabidi apige simu kwa amjirani akaletwa jamaa hata simjui ila ni ndugu wa mbali. Basi tukaenda bwana. Katika maongezi akamjua mchumbaangu wameendelea alivyoitwa mchumbangu akaulizwa unawajua hawa akasema ndio nawafahamu.
Tumemaliza mambo tukala tukaondoka. Jamaa asivyo na aibu akaniambia mdogo wangu hii nakwambia tu hapo hakuna mwanamke kama vipi chimba. Nishapita naye. Nliumia sana. Inshort dem alipita na ndugu zangu 2kabla ya kujuana na mm. But nlisamehe ila ni kitu kinanisumbua sana akili hadi leo tuna 14yrs ya ndoa. Na kimenivuruga sana kisaikolojia maana naona kama sina mke tu.