Wanajukwaa mko pouwa.
Du wanasemaga Dunia Ina mambo,mambo enyew ndyo haya aisee.Kuna mshkaji wangu tumemaliza naye zcul back in tym.Amekaa muda kweli hataki oa nikawa namshauri mara kwa mara wapi ,wajumbe wengine ikiwemo wazazi wakamshauri wapi ila juzi kati kafanikisha.Ila penyenye ambazo nataka kukupenyezea ni kwamba wiki mbili baada ya ndoa amebaini mshenga aliyemchagua ni X wa mkewe huyo japo hakuna kati yao aliyemtonya.Da Sasa wajumbe hili kitaalam likoje.Kumbuka hili ndilo eneo wife atakuja kulialia iwapo atapata changamoto yoyote huko ndoani kuja kupata ufumbuzi!
Mhhhhhhhhhhhh yangu macho🥱