Kamnyomo
Senior Member
- Apr 4, 2020
- 120
- 174
Jamani mtaani ni kugumu sana asikuambie mtu.Leo nilikuwa napiga stori na jamaa yangu mhitimu wa chuo X last year.Baada ya kupitia msoto wa kuonja joto la jiwe na soli za viatu kuisha, anasema amegundua hakuwahi kuwa smart katika kutumia pesa ya mkopo inayotolewa na Bodi ya mikopo ya elimu ya juu.
Zaidi anadaiwa zaidi ya 20Millions na hakufanya chochote cha maana zaidi ya ubishoo,pombe na starehe na kwasasa hana hata mia zaidi ya vyeti vyake.
Pia akatoa ushauri kwa Wadogo zetu mnaoingia chuo miaka hii,ile pesa ya bumu inatosha kabisa wewe kujiajiri baada ya kumaliza masomo,Anza kuweka kidogo kidogo utamshukuru baadae.
Mi5 tena atatoboa kweli?