Kumbe Mlawa alikuwa chawa tu

Kijana wa Ifoza

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2025
Posts
500
Reaction score
966
Ndugu yetu Mlawa miaka ya Jiwe alionekana kama ni mtu wa maana kumbe alikua tapeli shukrani Tundu Lissu kwa kumuumbua huyu tapeli.

Leo naomba tuchangie uchawa wa huyu Tapeli mkuu aishiye uhamishoni


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…