Kumbe MI hajaonekana kwenye hii AJE REMIX!.

Chachasteven

JF-Expert Member
Jul 4, 2014
1,941
2,042
Nilikua naangalia angalia video za wasanii wa Tanzania sasa nikakutana na AJE REMIX,sikuwai kuiangalia vizuri.

Sasa napepesa pepesa macho nimuone MI wapi,sikutani nae! Kilichonishangaza ni kwamba light hazijapewa sana nafasi ya kummulika kiba wakati wa sauti ya MI,wakijaribu kutuaminisha ni MI. Labda mlikua mnajua ila ni kwa faida ya wale ambao walikua hawajajua kama mimi hapa!!
 
Back
Top Bottom