Kumbe mh Zitto nae yumo...

Kumbe mh Zitto nae yumo...

Dr. Wansegamila

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2012
Posts
2,995
Reaction score
8,273
hapo sasa.........
 
Attachments

  • 557552_3078131010744_539294410_n.jpg
    557552_3078131010744_539294410_n.jpg
    23.8 KB · Views: 426
mpemi Zitto break apumnzike. Anapopiga Rais wako kila akisafiri kwenda nje ya nchi lazima apige picha na celebrity, lkn kwasababu ni Gamba mwenzio basi hapo ni sawa tu.
 
Dah! Hilo jicho Zitto alilotoa! Anaonyesha ana kiu balaa!
 
Haaaa Ndio maana wema kaweza kununua nyumbaa!! Kumbe anakwakuchotea mipesa!
 
mpemi Zitto break apumnzike. Anapopiga Rais wako kila akisafiri kwenda nje ya nchi lazima apige picha na celebrity, lkn kwasababu ni Gamba mwenzio basi hapo ni sawa tu.

Hee!!!!!!!! na mimi nimekuwa gamba leo?? Punguza jazba mkuu, relax, sijaipost hii picha for political reasons, its just for fun!!!!!
 
Eeeewwww @ the way Zitto is looking at Wema
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Eeeewwww the way Zitto is looking at Wema

lol! Karibu nipaliwe kwa kicheko hahahahah...Inaelekea G ukiangaliwa hivyo basi hizo upper cuts utakazorusha zitakuwa si za kawaida 🙂🙂...sasa utachezaje muziki na partner wako bila kumuangalia?
 
lol! Karibu nipaliwe kwa kicheko hahahahah...Inaelekea G ukiangaliwa hivyo basi hizo upper cuts utakazorusha zitakuwa si za kawaida 🙂🙂...sasa utachezaje muziki na partner wako bila kumuangalia?

Utazamaji wa kidhalilishaji huo, no thanks.

Nikiwa mie ndo nnacheza nae, nikishtukia natizamwa hivyo, I slap him and leave him right there on the dance floor 😀
 
zitto ni kama anasema vipi nipitishe mkono wa kushoto kwa chini.anajibiwa, napenda kama nini sema kina shigongo wapo subiri chumbani mwaya.
 
Back
Top Bottom