Kumbe Mbwa nao wanalambana?!

Kumbe Mbwa nao wanalambana?!

Basi jana natoka zangu Malls nasubiri UBER ije nirudi nyumbani

Mbwa wawili wakapita wanakimbizana, mara Mbwa mmoja anampandia mwenzake kwa nyuma

Ambacho kimenishangaza zaidi ni kuona Mbwa kabla hajampanda Mbwa jike alianza kumlambalamba huku Chini!

Doh nilichoka, kumbe Mungu kaweka show zote za matusi zinafanana kwa binadamu na wanyama! ?

Uuuuwi kumbe Mbwa nao wananyonyana nyuchi?!

Kiru, Omandende Ndoroooboee
Nipo kwa Mangi hapa natafakari show ya Mbwa wa jana huku napata Castle Lite!

Nilisikiaga kuwa mbwa zamani walikua ni watu, kuna kitu walifanya ndipo Mungu akawageuza kuwa mbwa
 
Back
Top Bottom