Habar za mihangaiko na michakariko ya pale wanaJF,
Hivi ni kwanini hutokea wapenzi wanapokuwa pamoja wanafanya vitu kama wagonjwa wa akili? Je, ni hisia furaha au mapenzi ndio hufanya kazi ya kuondoa UTASHI wa mtu?
Habar za mihangaiko na michakariko ya pale wanaJF,
Hivi ni kwann hutokea wapenzi wanpokuwa pamoja,wanafany vtu kama wagonjwa wa akili???je,ni hisia furaha au mapenzi ndio hufnya kaz ya kuondoa UTASHI wa mtu??nawasilisha!!