aka2030 JF-Expert Member Joined Jan 5, 2013 Posts 2,672 Reaction score 3,737 Jul 7, 2018 #1 halafu kwanini kajiachia sana? Mbona jina la huyo dada na yeye moja kama limeboresha? Au ameweka tu kuonyesha wapo hisa?
halafu kwanini kajiachia sana? Mbona jina la huyo dada na yeye moja kama limeboresha? Au ameweka tu kuonyesha wapo hisa?
Mapensho star JF-Expert Member Joined Jun 30, 2016 Posts 3,054 Reaction score 4,115 Jul 7, 2018 #2 Nancy nae si yupo hapo kwa ajili ya mme wake luca
The Monk Platinum Member Joined Oct 12, 2012 Posts 20,318 Reaction score 46,060 Jul 7, 2018 #3 Aliwahi kukwambia anachomiliki na asichomiliki? Unajua vitu vyote na asilimia ya anavyomiliki? Kuna namna inakuathiri kutokana na umiliki wake huko EFM? Mwisho kabisa, jitahidi kuweza kujiongeza na kuboresha mambo yako mkuu.
Aliwahi kukwambia anachomiliki na asichomiliki? Unajua vitu vyote na asilimia ya anavyomiliki? Kuna namna inakuathiri kutokana na umiliki wake huko EFM? Mwisho kabisa, jitahidi kuweza kujiongeza na kuboresha mambo yako mkuu.
kichakaa man JF-Expert Member Joined Oct 20, 2011 Posts 5,497 Reaction score 5,186 Jul 7, 2018 #4 Hiyo naona inamilikiw na familia yake
C ChimeraX JF-Expert Member Joined Dec 18, 2017 Posts 2,291 Reaction score 2,844 Jul 7, 2018 #5 Shida yako nini sasa au cha ajabu ni nini mkuu?
Tresor Mandala JF-Expert Member Joined Aug 20, 2010 Posts 43,253 Reaction score 90,453 Jul 7, 2018 #6 kichakaa man said: Hiyo naona inamilikiw na familia yake Click to expand... Kitu kipo wazo kbs hapo ,bora angesema Global publisher maana cjaona shigongo
kichakaa man said: Hiyo naona inamilikiw na familia yake Click to expand... Kitu kipo wazo kbs hapo ,bora angesema Global publisher maana cjaona shigongo
Tresor Mandala JF-Expert Member Joined Aug 20, 2010 Posts 43,253 Reaction score 90,453 Jul 7, 2018 #7 XaviMessIniesta said: Shida yako nini sasa au cha ajabu ni nini mkuu? Click to expand... kichakaa man said: Hiyo naona inamilikiw na familia yake Click to expand... Huyo naye anajiita GT naye ,asee
XaviMessIniesta said: Shida yako nini sasa au cha ajabu ni nini mkuu? Click to expand... kichakaa man said: Hiyo naona inamilikiw na familia yake Click to expand... Huyo naye anajiita GT naye ,asee
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,081 Reaction score 464,013 Jul 7, 2018 #8 Huoni kuwa ni familia moja hao
el nino JF-Expert Member Joined Nov 5, 2013 Posts 4,712 Reaction score 5,065 Jul 7, 2018 #9 kumbe Global publishers sio ya shigongo@@
joseph1989 JF-Expert Member Joined May 4, 2014 Posts 18,935 Reaction score 40,150 Jul 7, 2018 #10 CEO Mark Zuckerberg wa Facebook ana 28% kwa hiyo katika dunia ya sasa hivi kawaida cha msingi hela inaingia.
CEO Mark Zuckerberg wa Facebook ana 28% kwa hiyo katika dunia ya sasa hivi kawaida cha msingi hela inaingia.
Tresor Mandala JF-Expert Member Joined Aug 20, 2010 Posts 43,253 Reaction score 90,453 Jul 7, 2018 #11 Shunie said: Huoni kuwa ni familia moja hao Click to expand... Ndio nami nimemshangaa ,kitu kipo wazi kbs hapo
Shunie said: Huoni kuwa ni familia moja hao Click to expand... Ndio nami nimemshangaa ,kitu kipo wazi kbs hapo
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,081 Reaction score 464,013 Jul 7, 2018 #12 Tusishangae sana labda hajavaa miwani mtu chake said: Ndio nami nimemshangaa ,kitu kipo wazi kbs hapo Click to expand...
Tusishangae sana labda hajavaa miwani mtu chake said: Ndio nami nimemshangaa ,kitu kipo wazi kbs hapo Click to expand...
aka2030 JF-Expert Member Joined Jan 5, 2013 Posts 2,672 Reaction score 3,737 Jul 7, 2018 Thread starter #13 Samaritan said: Aliwahi kukwambia anachomiliki na asichomiliki? Unajua vitu vyote na asilimia ya anavyomiliki? Kuna namna inakuathiri kutokana na umiliki wake huko EFM? Mwisho kabisa, jitahidi kuweza kujiongeza na kuboresha mambo yako mkuu. Click to expand... Mara kibao anasema au wew hujawahi msikia? Mm yangu yapo sawa ndio maana napata mda wakupuyanga na huko kusaka ya wengne
Samaritan said: Aliwahi kukwambia anachomiliki na asichomiliki? Unajua vitu vyote na asilimia ya anavyomiliki? Kuna namna inakuathiri kutokana na umiliki wake huko EFM? Mwisho kabisa, jitahidi kuweza kujiongeza na kuboresha mambo yako mkuu. Click to expand... Mara kibao anasema au wew hujawahi msikia? Mm yangu yapo sawa ndio maana napata mda wakupuyanga na huko kusaka ya wengne
Tresor Mandala JF-Expert Member Joined Aug 20, 2010 Posts 43,253 Reaction score 90,453 Jul 7, 2018 #14 Shunie said: Tusishangae sana labda hajavaa miwani Click to expand... Maybe
Jambazi JF-Expert Member Joined Jan 18, 2014 Posts 16,654 Reaction score 18,792 Jul 7, 2018 #15 Tanzania bhana! Magufuli weka tozo kwenye mitandao naona vijana hawana kazi za kuzalisha mali
mosabiy JF-Expert Member Joined Jul 3, 2017 Posts 2,521 Reaction score 1,932 Jul 7, 2018 #16 joseph1989 said: CEO Mark Zuckerberg wa Facebook ana 28% kwa hiyo katika dunia ya sasa hivi kawaida cha msingi hela inaingia. Click to expand... Usishangae Watanzania wengi hawajui biashara ya hisa. HATA DIAMOND SI MLIKI WA WASAFI ila ana hisa
joseph1989 said: CEO Mark Zuckerberg wa Facebook ana 28% kwa hiyo katika dunia ya sasa hivi kawaida cha msingi hela inaingia. Click to expand... Usishangae Watanzania wengi hawajui biashara ya hisa. HATA DIAMOND SI MLIKI WA WASAFI ila ana hisa
Bujibuji Simba Nyamaume JF-Expert Member Joined Feb 4, 2009 Posts 76,579 Reaction score 161,433 Jul 7, 2018 #17 Ukimiliki hiza umemiliki kampuni kwa asilimia ya his zako
aka2030 JF-Expert Member Joined Jan 5, 2013 Posts 2,672 Reaction score 3,737 Jul 7, 2018 Thread starter #18 Jambazi said: Tanzania bhana! Magufuli weka tozo kwenye mitandao naona vijana hawana kazi za kuzalisha mali Click to expand... Wazee ndio watapata tabu sana
Jambazi said: Tanzania bhana! Magufuli weka tozo kwenye mitandao naona vijana hawana kazi za kuzalisha mali Click to expand... Wazee ndio watapata tabu sana
sarah6 Senior Member Joined May 24, 2013 Posts 134 Reaction score 57 Jul 7, 2018 #19 Mwanahisa ni mmiliki, majina tofauti tu
Mwanaginingi JF-Expert Member Joined Jul 5, 2014 Posts 464 Reaction score 400 Jul 7, 2018 #20 aka2030 said: View attachment 804610 halafu kwanini kajiachia sana? Mbona jina la huyo dada na yeye moja kama limeboresha? Au ameweka tu kuonyesha wapo hisa? Click to expand... Huoni familia iyo ya Ciza mzee!
aka2030 said: View attachment 804610 halafu kwanini kajiachia sana? Mbona jina la huyo dada na yeye moja kama limeboresha? Au ameweka tu kuonyesha wapo hisa? Click to expand... Huoni familia iyo ya Ciza mzee!