Watoa Rushwa washathibitisha ni video ya kweli. We kalia ugumu.Kamera inaonesha 2008 kwenye video
Mwenyewe kakubali, sasa sijui unaongea niniVideo za kuedit
akiwa dc wa wapi ?Ilikuwa ya 2008 huku DC Mnyeti akiwa ofisini!
Kwahiyo?Kamera inaonesha 2008 kwenye video
Tamathali ya kwamba unabinuka binuka.Chadema wanatia huruma! Ukiona walivyoongozana kwenda TAKUKURU msigwa,nasari na lema utafikiri watoto yatima
Wewe ni sawa na siafu asiekuwa na akili kuuma mti.Kamera inaonesha 2008 kwenye video
Yaani siasa za Tanzania ni sawa na mtu anayetumia nguvu nyingi na muda kuonyesha kuwa ana pesa badala ya kutafuta pesa.
Malumbano hayaishi. Lini tutaona video za maendeleo yaliyofanywa na wabunge na madiwani katika maeneo yao ya kazi.
vipi waliotaka kumuua wamepatikana?Kwasasa wapo wote wapo busy wanasutana umbea tu!!. Lisu anapambana na hali yake kule.....Tumuombee sana maana alisema msinyamaze!!